Simu Za Non Removable Battery

Simu Za Non Removable Battery

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,426
Reaction score
3,308
Wakuu hamjambo?
Mimi nilikuwa na kaswali kadogo tu je kwa wale mliowahi kutumia simu za mfumo wa Non-Removable battery zinapochoka bater huwa zinabadilishwaje?
Changamoto zake zikoje maana simu kama za samsung betri waweza badilisha muda wowote.

Mfano wa non removable ni. HTC ONE NA ASCEND P6
 
hizo simu battery zake zinaweza kubadlishwa! lakini mpaka battery ichoke hyo simu utakuwa umeshatumia miaka kadhaa na sidhani kama bado utakuwa unaihitaji, lakini ikibidi kubadlisha inawezekana, simu inafunguliwa na battery inabadilishwa!
 
Mkuu nilianza kuogopa kuzinunua.
 
ni simu nzuri na pia betry zake zipo za kubadilisha mfano ni iphone, htc zinabadilishwa ila jiandae bei za betri kwani zinaelekea kuwa nusu ya ile uliyonunulia siku!!! lakini mpaka zife kuna safari ndefu sana mie nina i phone ya miaka saba sasa bado kabisa betry yake
 
ni simu nzuri na pia betry zake zipo za kubadilisha mfano ni iphone, htc zinabadilishwa ila jiandae bei za betri kwani zinaelekea kuwa nusu ya ile uliyonunulia siku!!! lakini mpaka zife kuna safari ndefu sana mie nina i phone ya miaka saba sasa bado kabisa betry yake.

Hazivimbi?
 
hizi simu naziogopa sana ndo mana nataka kununua samsung
 
ila kaka kabla hujanunua hizo simu za non removable inabidi uwe umeangalia score za hio simu kwenye ku repair.

simu nyengine ni karibia imposible kuchange chochote mfano htc one
 
Mkuu chief kwa hyo ikileta tatizo ni kutupa cm nzima?
 
ila kaka kabla hujanunua hizo simu za non removable inabidi uwe umeangalia score za hio simu kwenye ku repair.

simu nyengine ni karibia imposible kuchange chochote mfano htc one

Hahahaa, hapo umenena mkuu! Lakini kwa vyovyote vile mtu wa kawaida mara nyingi anahofia sana kuharibu kitu, hata nokia ya tochi anaona akiifungua ndani ataharibu, ikisumbua kidogo anaipeleka kwa "fundi" wakati vitu vingine anaweza kufanya mwenyewe! Ndiyo uje umwambie abadli battery hata kwenye iPhone tu mbona utata! HTC One inahitaji kutulia sana kwa jinsi hawa jamaa walivyoedisgn, kwa mfano battery kuifikia tu ni utata, lakini INAWEZEKANA!
htc one.jpeg
 
Hivi simu za "non-removable battery" iki stuck au ku misbehave unafanyaje? Maana njia za kawaida ni kuizima na kuwasha, ikiendelea kusumbua untoa battery una replace mambo safi. Sasa hizi za non-removable yaani sipati picha.
 
Mkuu mara nying cmu ambazo bater zale n non removabl zipo vizuri kwa kwel labda uingizwe mjin ununue ambayo cyo yenyew,na software wanazotumia cyo kama Samsungu Android yao inastack sana mfano Iphone m nimeshatumia iphone 4s miaka 2 wenyew wanatumia soft ya IOS cjaona inastack
 
Hivi simu za "non-removable battery" iki stuck au ku misbehave unafanyaje? Maana njia za kawaida ni kuizima na kuwasha, ikiendelea kusumbua untoa battery una replace mambo safi. Sasa hizi za non-removable yaani sipati picha.

wengine wanaacha hadi simu iishe charge
 
Hivi simu za "non-removable battery" iki stuck au ku misbehave unafanyaje? Maana njia za kawaida ni kuizima na kuwasha, ikiendelea kusumbua untoa battery una replace mambo safi. Sasa hizi za non-removable yaani sipati picha.

Mara nyingi kuna key combination inayoforce shutdown, inategemea na aina ya simu.
 
Hivi simu za "non-removable battery" iki stuck au ku misbehave unafanyaje? Maana njia za kawaida ni kuizima na kuwasha, ikiendelea kusumbua untoa battery una replace mambo safi. Sasa hizi za non-removable yaani sipati picha.

Mimi natumia Xperia T, betri ni non removable,km ikistuck (haijawahi kunitokea) au nikitaka ku restart au ku force shut down, nina press power button+volume up button kwa secs kadhaa, inazima, na ukiendelea kubonyeza bila kuachia kwa secs kadhaa ina restart.
kwahiyo usiogope, zipo njia zake za ku restart inapozingua.
 
Ok nashukuru kwa kunifungua akili
 
Hizi cm sinunui bora nibaki na alcatel tu.
 
Back
Top Bottom