Kama ni brand unapata kama ni hutu tu TV twa kichina kwisha kaziWana jamvii salaam!
Moja kwa moja niende kwenye mada, hapa ni TV ambayo ilianguka, ikapasuka kioo cha juu na display pia(kioo cha ndani) sasa je kuna uwezekano wa kupata spare zake kama ilivyo kwenye simu? Pia ni gharama ziko vipi?
spare zipo ila ni za kichina na siyo za OEMkupata spare zake
bei ni zaidi ya 70% ya bei ya TVPia ni gharama ziko vipi?
Quality ya kioo ni ile ile? Maana inawezekana tv ya 1.4m ukaekewa kioo cha tv ya laki 7 kwa laki 6.Mm nimrtengeneza TV ya 1.4M kwa laki sita