E-Mail recovery

Vintage1q

Member
Jan 7, 2021
67
126
Amani kwenu waungwana,

Aisee nilipoteza simu ikiwa na laini ambayo nilikuwa nimeunganisha kwenye e-mail address yangu kwa ajili ya verification. Kwa bahati mbaya wakati najaribu ku-renew ile namba nikaona tayari kuna mtu mwingine anaitumia.

Nimejaribu mara nyingi kumsihi anitumie zile code zinazotumwa kwake wakati najaribu kuingia kwenye e-mail yangu lakini amekataa kabisa tena na matusi juu.

Naombeni mwenye maarifa ya ziada ya kuweza ku-recover e-mail address yenye shida kama yangu anisaidie.

Natanguliza shukrani.
 

Vintage1q

Member
Jan 7, 2021
67
126
Asanteni sana kwa ushauri mzuri. Nimefanikiwa kufungua. Nilikwenda kuripoti polisi na mhusika akapigiwa simu akapewa maelekezo niliyoyatoa, akanitumia code bila shida.
 

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
Nov 6, 2022
1,582
1,979
Asanteni sana kwa ushauri mzuri. Nimefanikiwa kufungua. Nilikwenda kuripoti polisi na mhusika akapigiwa simu akapewa maelekezo niliyoyatoa, akanitumia code bila shida.
Aisee, kweli hiyo gmail account ilikuwa na docs za muhimu sana, mpaka ukaamua kwenda kwenye kituo cha manjangu
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom