Worldremit ya Voda naitumiaje,nataka kupokea ela KUTOKA nigeria

samrich234

Member
Nov 7, 2022
42
20
JAMANI NATAKA KUPOKEA ELA KUTOKA NIGERIA NA GHANA NA SIO BANK NIMETAMANI KUTUMIA WORLDREMIT YA VODA NAOMBENI MNIELEKEZE
 
JAMANI NATAKA KUPOKEA ELA KUTOKA NIGERIA NA GHANA NA SIO BANK NIMETAMANI KUTUMIA WORLDREMIT YA VODA NAOMBENI MNIELEKEZE
Sio kazi yako kujua utaitumiaje.
Mtumaji ndiye anatakiwa kujua namna ya kutuma.
Yeye akikutumia itaingia kama m pesa au tigo pesa kawaida tu.
Voda inaweza kuchukua hadi nusu saa lakini tigo ni instant.

Huna haja kuuliza swali hili.

Pili kwetu sisi hatuwezi kutumia world remit kutuma pesa lakini tunaweza kupokea tu.
 
JAMANI NATAKA KUPOKEA ELA KUTOKA NIGERIA NA GHANA NA SIO BANK NIMETAMANI KUTUMIA WORLDREMIT YA VODA NAOMBENI MNIELEKEZE
Sidhani kama worlremit inamruhusu mtu kutuma pesa kutoka nigeria. Sio kila nchi worldremit wanakubali kutuma ela. Atumie njia nyingine tu
 
Back
Top Bottom