mihayo kadete
Member
- Oct 19, 2010
- 12
- 1
Kwema wadau naomba msaada wa namna ya ku unroot samsung s10 plus
Asikutishe Hamna lolote, flash stock rom au nenda playstore kuna apps kibao za ku unroot.flash official file.ila kumbuka mara nyingi simu zilizo root zimefanyiwa figusi ya IMEI .
certificate ya imei itagoma itakuja olijino na subiri bangili