Fahamu jinsi ya kuondoa Factory reset protection (FRP) kwenye Simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Ni nini hufanyika wakati kifaa chako kimeibiwa? Je! Unawezaje kumzuia mtu mwingine asiitumie? Shukrani zote kwa Google, ambaye ametoa simu zetu za android huduma inayoitwa factory reset protection (frp).

Lakini, wakati mwingine tunahitaji kutumia zana za FRP Bypass ili kufungua simu zetu. watu wengi wanajua usalama wa smartphone zetu sasa, kukiwa na mifumo mbalimbali ya usalama Kama pattern , pin password Ila Siku hizi smartphones zetu zimekuwa salama zaidi kuja na biometriska kama skana ya kidole au skana ya iris.

Ila moja wapo Kati ya hizo ni FRP lock. hii huweza ku lock simu yako pale ty mtu atapoweza kufanya factory reset ya simu yako. Kwa hivyo hutoa usalama kwa data zetu ndani ya simu.

JE Factory reset protection (FRP) NDIO NINI ?
frp ni Google security feature ambayo huweza kulinda simu yako na FRP lock. njia hii huweza kukuliza baadhi ya taarifa fulani ili kuweza kuthibitisha kuwa mtumiaji wa simu ni wewe au lah.Ikiwa mtu huyo hawezi kutoa uthibitisho , simu inakuwa haina maana kwani utaweza kutumia Tena.

Lakini wakati mwingine mtumiaji husahau sifa zake. Kwa hivyo, katika kesi hii, tunahitaji msaada wa zana zingine za kupitisha FRP za android ili tuweze kutumia simu Kama kawaidaa baada ya kufanya factory reset.

kumbuka:
Kipengele hiki kinapatikana kwa lollipop ya android 5.1 na kuendelea Ila zile ambazo version zake ni kuanzia 5 kushuka chini Basi unaweza kutumia tu bila shida yoyote.

ni muhimu Kama unatumia simu yako kuanzia Android version 5.1 na kuendelea ikiwa una email Basi iweke kichwani maana watu wengi huweza kudharau Email wakat ni muhimu kuwa nazo .
Kuna njia mbalimbali za kuweza kuondoa Google FRP bypass ya Akaunti kwenye simu yako.

Sasa, utafanya nini ikiwa utasahau maelezo yako ya uthibitishaji na kifaa chako kinaonyesha FRP? Hapa, zana nzuri za kupitisha FRP ambazo zinafanya kazi kwenye modeli nyingi za simu.

nakumbuka kuwa Kuna njia nyingi za kuondoa FRP na hasa hii ni kutokana simu zetu za Android Kuna zile unatumia box Kama miracle nck dongle , na nk Lakini Kuna zile za kutumia Apk tu Kama quick Shortcut maker, Frp bypass, Test dcp , Obs na nk .

Ila ngoja niwaeleze kuhusu zile ambazo sio lazima kutumia box Sasa:

1.) D&G Password Unlocker
software hii huweza kufanya kazi kwenye baadhi ya simu Kama vile Samsung, Huawei, Motorola, Xiaomi, Yuphoria, HTC , na nk. Pia ni zana inayotumiwa zaidi ya kuondoa FRP kwenye simu kwa sababu ya urahisi wa kutumika kiasili.
Pakua Sasa

2.) Tenorshare 4uKey
Kama unatumia simu ya Samsung Basi software hii itakusaidia kuweza kuondoa FRP kwenye simu za Samsung . kwani unachotaji wewe ni kuweza kuweka emei namba zitakazo tumika ku unlock simu yako kwa urahisi Sana.
pakua Sasa

3.) GSM Flasher Tool
je umesahau pattern ? software hii utaweza kukusaidia kuweza kuondoa patterns ya simu yako. unachotakiwa ni kuweza ku download hiyo software katika PC (window au Mac).

Kisha connect kfaa chako na PC , Sasa utaweza kuondoa verification kwa urahisi.
pakua Sasa

4.) Pangu FRP Unlocker
kwa wazee wa APK Basi hii inawahusu we fanya kuipakua app hii kwenye simu yako au Ile iliyokua na FRP wazee wa ku bypass bila kutumia PC tunaelewana app inatumika kwa simu zote kuanzia Samsung, LG, Mi, HTC, Tecno , Infinix. pia Kama unatumia Lollipop 5.1, Marshmallow 6.1, Nougat 7.0 and 7.1.2 and Oreo 8.0 Basi app hii inafanya kazi kwako bila shida.

unachotakiwa ni kuzima Google Akaunti manager na Google play services pia disable find my device iko kwenye security from administrator setting. Sasa install pangu frp unlock kwa ajili ya ku bypass simu yako Kisha add email mpya.
 
shukrani mkuu mim nina tazizo sjui kma unaweza kunisaidia namna yoyote ata ushauri,

mimi kuna siku nlipata ofa ya gb za kutosha ilikua gb 50 , nkasema leo ngoja nijribu ku-root simu yangu
basi nkasoma tutorial zote nikafownload na app na rom zote zilizokua zinahitajika

basi nkaanza mambo, nikaanza ku unlock bootloader nkafanikisha
nikaendelea na process zingne walizonielekeza, ila nilifika mahali jamaa vitu anavyofanya matokeo yake

yakawa tofaut na mm apo ndo kisanga kilianzia nkajikuta nshaloose nkashindwa kuendelea

nikajarib kila namna lkn mambo hayakuwa shwar tena ,nkaona isiwetabu nkaamua kurud zangu nkarudiaha vitu vyangu kwenye simu
ila shida front camera ilikufa inaonyesha tu black mpka sasa pia na zile OTA upgrade ndo siwezi kuziistal tena

nkajaribu kutafut suluhisho wakaniambia nilock tena bootloader ila mara site zngine zinaniambia haifai tna ku lock...
em kama ww una ka idie yoyote em nipe ata angalau niweze ku install ota upgrade na camera cma inweza kurudi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom