Simu yangu hainiruhusu kupiga

Simu yangu hainiruhusu kupiga

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
871
Reaction score
885
Inaandika "Check operator services."
Nifanyeje ili ikubali?
 
Aisee, unapenda kuulizwa maswali ee?

Je ndio unaanza kuitumia?
Au kuna setting zilifanyika?
Laini nyingne umejarb?
Zimekubali au?
Umejarb kubadili laini kuweka kwenye simu nyingne?
Uliifanyia factory reset?
 
Ni simu ya rafiki yangu.
Ngoja nimuulize.
Naamini kuna.kitu amefanya kati ya ulivyovitaja.
 
Tunachokijua
Hiyo simu umeficha utambulisho wa mpigaji yaani wewe kitu ambacho mamlaka zilizuia toka miaka ya 2005 huko

Wakati hiyo huduma inafanya kazi miaka ile ulikuwa unaweza kumpigia mtu simu na namba yako isionekane kule.

Hivyo ili kuwezesha, nenda sehemu au inayofanana na hii.
setting
call setting
send my call ID
Weka ON au SET BY NETWORK
 
Tunachokijua
Hiyo simu umeficha utambulisho wa mpigaji yaani wewe kitu ambacho mamlaka zilizuia toka miaka ya 2005 huko

Wakati hiyo huduma inafanya kazi miaka ile ulikuwa unaweza kumpigia mtu simu na namba yako isionekane kule.

Hivyo ili kuwezesha, nenda sehemu au inayofanana na hii.
Asante sana.
Namtumia ujumbe ajaribu.
Nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom