Simu yangu ya Samsung inakataa ku-search/kushika Wi-Fi network

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,457
2,437
Salaam JF Tech,

Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi.

Simu zingine zinakubali.
Tatizo nini? Msaada.
 
Fanya system Restoration... Ikigoma piga file jipya...

Wait... Before hayo jaribu ku forget hizo network zinazoonekan ktk WiFi list.

Hili tatz hutokea pale ukiwa umeconnect hiy sim na WI-FI hapo mwanzo then ile source ya network yaan ile device inayokupa connection inakuw imebadirishiw password. So device yako inakuw inashindw kufany bridging au kitaalam tunaita Handshake between your device na hiyo source. So data packets zinashindw kuwa transferred na gateways zote zina sizi.... So fanya hiyo remedy ya ku forget networks ikigoma fata hizo advanced remedies..

Note: fanya backup first
 
Kupiga file jipya naanzaje mkuu?

halafu hata list ya hzo Wi-Fi network hazionekani.

halafu kuhusu restoration nimeshaifanyia ila bado.
 
Ipeleke kwa fundi atakusaidia.. Unaweza piga file ukidhan ishu ni software kumbe ishu ipo ktk Hardware upande wa IC za Network.. So ishu hapo nenda kwa fundi anayejielewa ajiridhishe then afanye remedy kulingana na chanzo cha tatzo. Nikikuelekez kupiga file utakosea uue sim bure
 
Shukurani mkuu.
 
Back
Top Bottom