Wazee wenzangu wa Termux tupeane maujanja hapa ....

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Salaam,

Naipenda sana termux kwakua kwanza ni user friendly halafu pia unaweza kuitumia hata kwenye non-rooted devices.

Pia commands zake ni kama tu Linux. Je, unatumia tools gani kwenye termux? Mimi kama muonavyo hapo chini, nina black-hydra, Nmap, IPGeolocation, instahack, slowloris(nzuri sana kwa kulaunch DoS attack hii) na weeman ambayo inatumika ku-clone a site eg. FB then unacreate a phishing page ambapo ukimtumia mtu link akajaribu kusign in basi automatically inakuletea login credentials zake.

Cons za instahack/instabrute ni kwamba unatumia bruteforce kujaribu kupata password sasa hapo lazima uwe na wordlist.txt ambayo umebunibuni kuotea.

Karibuni tupeane maujanja zaidi ma script kiddies wenzangu.
Screenshot_20190909-220352.jpeg
 
By the way, blackeye ni noma sana
Salaam,
Naipenda sana termux kwakua kwanza ni user friendly halafu pia unaweza kuitumia hata kwenye non-rooted devices. Pia commands zake ni kama tu Linux. Je, unatumia tools gani kwenye termux? Mimi kama muonavyo hapo chini, nina black-hydra, Nmap, IPGeolocation, instahack, slowloris(nzuri sana kwa kulaunch DoS attack hii) na weeman ambayo inatumika ku-clone a site eg. FB then unacreate a phishing page ambapo ukimtumia mtu link akajaribu kusign in bas automatically inakuletea login credentials zake. Cons za instahack/instabrute ni kwamba unatumia bruteforce kujaribu kupata password sasa hapo lazima uwe na wordlist.txt ambayo umebunibuni kuotea. Karibuni tupeane maujanja zaidi ma script kiddies wenzangu.View attachment 1203619
 
Mkuu hebu nisaidie nikitaka ku start weeman
Python2 weeman.py haitak kuanza lengo ni kucreate phishing page

ngoja niweke logs hapa...
 
Ndio mkuu...ila shida ni kwamba niljua nikisha install weeman inakua tayari ipo mda wote,,sasa kila nikitaka kustart weeman inagoma...hadi nifanye kuistall upya kisha ndio niendelee na command zangu..sasa ni sahihi kua hivi?
Mkuu umeshainstall weeman kwenye termux yako?
 
Admiral Chandler,
Unajua ili kumdukua mtu kwa kutumia weeman lazima umtumie hiyo link ya localhost, sasa kwa mtu ambae kidogo anajua kidogo haya mambo ukimtumia hiyo link umwambie apaste kwenye browser yake lazima adoubt kidogo, sasa ntakupa manuva ya kufanya
 
Ndio najua lazma nimtumie victim,,sasa jana nikajarbu kutumia url shortener zikawa znanikatalia...so nika create link kwa telegram nikaivalisha Facebook.com but still localhost inakua visible pale mtu atakapo click...vinginevyo nitake kumuhack kilaza labda..basi utanipa manuva
Admiral Chandler,
Unajua ili kumdukua mtu kwa kutumia weeman lazima umtumie hiyo link ya localhost, sasa kwa mtu ambae kidogo anajua kidogo haya mambo ukimtumia hiyo link umwambie apaste kwenye browser yake lazima adoubt kidogo, sasa ntakupa manuva ya kufanya
 
Kwa wale ambao simu zao n rooted basi termux au kali nethunter sio chaguo sahihi kwako..kuna machine mpya ambayo n zaid hacking machine..na sio emulator kama termux Nzovwe nyenginezo..inaitwa ANDRAX ..kama ukipata mda ichek hata google uone vile ilivyo..
Ahsantn
 
Kwa wale ambao simu zao n rooted basi termux au kali nethunter sio chaguo sahihi kwako..kuna machine mpya ambayo n zaid hacking machine..na sio emulator kama termux na hizi nyenginezo..inaitwa ANDRAX ..kama ukipata mda ichek hata google uone vile ilivyo..
Ahsantn
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom