Natafuta mtaalamu wa kucheza na cctv camera aweze kunisaidia kurudisha picha kwenye simu yangu

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
264
206
wakuu natafuta mtaalamu wa kucheza na cctv camera aweze kunisaidia kurudisha picha kwenye simu yangu imekuwa disconnected hivyo siwez ku log in nimesahau password na username.nipo tayar kutoa malipo kwa atayeweza kuja kufanikisha.nipo.manyoni tanzania

Sent from my SM-A750GN using JamiiForums mobile app
 
+255 755 664 599
kama uko serious nitafute
 
Back
Top Bottom