Tunaotumia Samsung S10 series tukutane hapa

Tunaotumia Samsung S10 series tukutane hapa

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
29,514
Reaction score
42,649
Wakuu natumai mu salama!!

Mwanzoni wa mwezi huu nimebahatika kuipata Samsung Galaxy S10 plus.

Nimepitia sites nyingi nimeona hii simu imekuwa top rated kwa ubora kwa 2019.

Lengo la uzi huu ni kutaka kupeana maujanja na uzoefu wa hii simu maana imekuwa na mambo mengi sana sana!

Karibuni S10 series users au mnaozijua.
 
Nimeshailipia hii simu, so wacha nisubiri wataalam pia.
 
Ni simu tamu sana kwa kuitazama mkuu, binafsi hutumia S series but S9 ya last year sikununua ndo nimenunua hii S10 plus!! Kiukweli wanaosifia Tecno naamini hawajawahi shika hizi mashine
Nimeshailipia hii simu, so wacha nisubiri wataalam pia.
 
Mkuu kuna comparison zimefanyika huyo p30 hamkuti S10 plus
Nilikuwa ninunue hii ila Huawei walipolaunch p30 nmetulia nausubiria mtambo kutoka Huawei, hakuna simu kama Huawei p30 duniani.
 
Ni simu tamu sana kwa kuitazama mkuu, binafsi hutumia S series but S9 ya last year sikununua ndo nimenunua hii S10 plus!! Kiukweli wanaosifia Tecno naamini hawajawahi shika hizi mashine

Well said Mkuu. Sijui soko la Bongo itakamata bei gani coz kwa specifications zake inaonekana iko poa sana hii kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba kumbe hawa wazee nao wanaiogopa TECNO, sema hawajionyeshi.[emoji1787][emoji1787]
Wanasema sio simu ,ila wanapoongelea simu lazima waitaje. Tecno hoyeeeeee! Sisi tunasubiri uzinduzi wa spark3.nyie toeni tu mamilioni,sie tunaandaa 500k.( mmetaja wenyewe tecno ndio mana tumeingilia uzi wao) hahahaaa..
 
Duh simu ina matoleo 100 kwa mwaka itakua Bora kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tecno camon xPro ni nzuri kwa ubora ukilinganisha na bei 600,000/. Memory 64gb. Ram 4gb. Android 8. The only problem is because it is "TECNO"
 
Back
Top Bottom