Natumia desktop, mwanzo nilikuwa napata wireless vizuri tu, juzi nimeanza kutumia ttcl ndio naona haisapoti wi-fi, so nahisi nikipata cd yenye driver yake nikaiweka itakubali tuUnakifaa gani maana kuna computer hazisupport wireless network
Kama upo Dar naomba unipmhakuna haja ya CD, install driver easy easyupload.io
ina crack yake, itatafuta drivers za iyo WiFi adapter