Hivi kuna Phone kama hii ya wireless yenye fm Radio?

Wiwachu

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
809
923
Habari za mda huu ndugu zangu, najua mko poa kuelekea kusherehekea sikuu ya Xmas na Mwaka mpya

Wakuu kama kichwa cha uzi kinavojieleza naomba kujua je,!? Kuna hizi zinavoonekana kweny picha phone za wireless za kuvaa shingoni ndogo ndogo zenye kunasa fm radio maana nyingi nazokutana nazo huwa hazina fm radio zina kuwa na sehemu ya kuwema sd card na flash tu ila inayokamata na stesheni za radio cjawahi kuona nazihitaji naikaona nije niwaulize wana family ya Jf maana hawashindwi kitu coz ni wengi na wako sehemu tofaut tofaut,

Kama zipo nitazipata wapi hasa kampuni hiyo au yingine yoyote ila hiyo nimeipenda inakaa na chaji sana bei gani ya makadilio?? Niko dar nilikuwa nataka nikazisake town kariakoo ila kabla sjafanya ivo naomba mnipe uhakika hapa staki kupoteza nda wangu kumbe labda hazipo nazotaka zenye radio

Natanguliza shukrani, karibuni kwa michango

IMG_20211211_081446_021.jpg
IMG_20211211_081343_308.jpg
 
Back
Top Bottom