MSAADA: Yeyote aliyewahi kutumia Nokia N95 naomba anipe ujuzi kidogo

Kunguru wa Unguja

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
1,523
1,609
Habari za muda huu wana JF,

Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kutumia Nokia NSeries naomb anipe maelekezo kdg kuhusu hizi simu upande wa mtandao na pia nawezaje kupata battery lake iwe Dar es salaam au mkoa mwngne.

Ahsanteni.
 
Yan hata kuweka picha ya hyo nokia umeshindwa halafu unataka msaada...pathetic
Sorry naweka mkuu

8204_800.jpg
 
Duh hiyo simu sijui nilitumia enzi za ujima huko hata ilipokwenda sikumbuki.

Ni kwamba ni ya kutupa tu maana hana fundi simu wala vifaa vitapatikana kutengeneza hiyo cm.

Ichongee boksi peleka pale makumbusho ya taifa ikae kwenye kumbukumbu.

Usisahau kuweka jina na no yacm labda wajapan watakutafuta siku.
 
Habari za muda huu wana JF,

Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama...
Dunia inaenda mbele wewe unarudi nyuma. Hiyo simu nadhani niliitumia 2008 before the coming of android technologies.

Tafuta battery 🔋 online utapata. Au nenda Msasani jirani na uwanja wa Magunia kuna duka huwa wanauza simu na parts zake. Simu za zamani, hata ukitaka Siemens C25 utapata
 
Habari za muda huu wana JF,

Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kutumia Nokia NSeries naomb anipe maelekezo kdg kuhusu hizi simu upande wa mtandao na pia nawezaje kupata battery lake iwe Dar es salaam au mkoa mwngne.

Ahsanteni.
Most of time Nokia zote zina Signal reception nzuri, na battery ni hizo hizo zinatumika hadi leo kwenye michina.

Battery lake linaitwa BL 5F, nenda maduka ya battery watajie watakupa.
 
Apps pendwa mkuu kama WhatsApp, Instagram, na app nyingine maarufu ndizo nazngumzia. Maana unaweza kujikuta umestuck kwenye kisiwa cha peke yako.
Ila hizo simu were among my favorite smartphones. Symbian na Blackberry nilizienjoy sana enzi hizo.
Insta na whatsapp hamna ila FB bado ipo, na kuna Games za kutosha nyengine hadi online. Youtube, Music players, bila kusahau zinarecord simu
 
Hahahaa nakumbuka nilikuwa na nokia N73 aisee nilienjoy sana ile simu ilikiwa na apps za kutosha nakumbuka ilipo kuja wtsp nikawa natumia wtsp web
Software za simu za Button zime downgrade sana, Kai os hivi za kwenye smart vitochi app zake unahesabu na vidole halafu hazina maana yoyote. Mara mia utumie hizi za zamani.
 
Back
Top Bottom