Jinsi ya Kuangalia profile completeness upwork

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Samahani wakuu naomba msaada wa kujua Kuangalia ni kwa jinsi gani profile yangu Ina asilimia ngapi ya ukamalifu kwenye mtandao wa upwork, kwa kutumia application yao ya simu.
 
Si unaenda kwenye menu, kisha my work, halafu unachagua stats utaona pameandikwa Profile Completeness
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom