Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakubwa? Naomba na mimi niwe mmoja wa akaunti ya prisoner@Jamiiforums.com nitafurahi sana Je nifanyeje? Naombe wenye kujua anielekeze. asante
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hii machine amenunua jamaa yangu, haisomi cd, wala cd rom haionekani kabisa. tumejaribu kubadili cd drive lakini hakuna kitu (wala haiombi instalation.....ng happens!!!), tumejaribu kubadili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, laptop yangu tangu juzi inaleta maneno yafuatayo; "The Logon User Interface DLL msgina.dll failed to load" contact ya system administrator to replace the DLL, or restore the original"...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Team Kuna Mtu ameshawahi tumia hii Computer...Ikiwa na 64bit.Ni matatizo gani ambayo umekutana nayo.Nimenunua hii machine.64bit nasikia zina matatizo kwenye drivers zake kwa kuwa nyingi ziko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, nadhani nitakuwa nimekuja katika sehemu sahihi. Nina camera aina ya fujifilm A800 na laptop aina ya Mac lakini mara ninapoconnect camera haisomi kabisa katika computer. Tatizo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Google Buzz goes after Facebook, Twitter By Doug Gross, CNN February 9, 2010 5:05 p.m. EST Google Buzz, a feature of Gmail, aims to compete using elements similar to Facebook and Twitter...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MATAPELI WA INTERNET. Kuna email inatumwa ikiwa na subject ya "Yahoo Update" au "Gmail Update" au "Hotmail Update". Hii Email inauliza User Name, Password, Birth Date, na Country. Tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina Toshiba Laptop A205-5833 with Windows Vista, nataka kuiformat nahitaji recovery cd yake ili niweze pata drivers zote. Nalimwaga jamvini mwenye msaada tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
CHANGAMOTO KATIKA MASHINE SAKA – SEARCH ENGINE Kwa watumiaji wa Kompyuta haswa wale wanaotembelea mitandao mbalimbali ya kompyuta duniani kitu Mashine Saka sio kigeni kwao , wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
It's 's almost like those too-familiar infomercials that get so popular around New Year's - time to get rid of the fat and add some muscle. Cisco's done the same to CCNP with today's announcement...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MITANDAO HII ITUMIKE IPASAVYO Hivi ni mara ngapi umewahi kuandika barua pepe kwenda kwenye anuani ya taasisi Fulani ya elimu ukakuta kumbe haifanyi kazi haswa hizi za mawasiliano kwa wote kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mzee mzima Steve job wa apple anaongea kesho 10am PTwednesday-US)....seems anakuja na kitu cha uhakika na hakuna mwenye uhakika lakini media ya hapa states sasa wako all over hii kitu.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Massive boa constrictor-like Titanoboa measured up to 45 feet long Jason Bourque The extinct giant snake, called Titanoboa (shown in an artist's reconstruction), would have sent even Hollywood's...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Antivirus software and a firewall alone can't guarantee your safety Do you know how to guard against scareware? How about Trojan horse text messages? Or social network data harvesting...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naombeni ufafanuzi wa kina wa hizi terminology ,hata kam ni kiswahili H:\>IPCONGI /ALL 'IPCONGI' is not recognized as an internal or external command, operable program or batch file...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeangalia kwa karibu website za media organisations za Tanzania, pattern inayojitokeza ni kwamba pamoja na kuwa na poor editorial content, lakini pia kuna kila dalili za shody designs na dodgy...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Avast 5.0 V/S AVG 9.0 Sahau kuhusu Autorun ambayo ilikuwa inasumbua watu wengi sana mpaka kufikia hatua ya kuogopa kutumia bidhaa hii ukijumlisha muonekano mpya na wakipekee kabisa hiyo ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wamenitumia mail hii nikawa curious kuona kama wamebadilisha nika fungua na kukuta in ile ile page ya yahoo ya kuingilia kufungua mail nilipotazama web adress nikakuta ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
How to patch without running WGA validation? Follow the following steps: Step 1: Install and activate XP. For XP SP2 only (not XP SP3), you must also download and install the patch described in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…