Dell optiplex gx620 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dell optiplex gx620

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Feb 10, 2010.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 0
  hii machine amenunua jamaa yangu, haisomi cd, wala cd rom haionekani kabisa. tumejaribu kubadili cd drive lakini hakuna kitu (wala haiombi instalation.....ng happens!!!), tumejaribu kubadili cable lakini wapi!!!!....kimya. Tunaomba msaada kutoka kwa wataalamu, au mtu yeyote mwenye kuhisi hii mashine inaumwa nini.
  Asante
   
 2. g

  geek Member

  #2
  Feb 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huwa si rahisi kuelewa chanzo cha tatizo kama hilo kwa urahisi, especially kwa kuwa mashine ni used - huenda aliyekuwa nayo awali aliichokonoa.

  lakini mara nyingi linaweza kuwa ni tatizo la drivers (software inayowezesha kifaa kama hicho kufanya kazi katika kompyuta).

  hakikisha kompyuta yako iko na updates zote muhimu (kama upo connected kwenye net), vile vile ikiwezekana identify optical drive - kisha nenda kwenye website husika halafu re-install au update driver.

  inaweza kusaidia na inaweza isisaidie. but give it a try.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 0
  thanks mzee, lakini itawezekana vp ku-update driver wakati hardware haionekani hata kwenye manager?...inachanganya kidogo!
   
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  1. Angalia kama IDE slot kama ziko fresh yaani zi swap IDE ya Hard disk na ya CD hapo utagundua kuwa slot ndio inashida au lah.

  2.Washa komputer then ingia kwenye bios settup kisha switch on all drivers yaani IDE 1,2,3,4 then uwashe maana kama computer ili wahi kutolewa cd huwa ina ditect na kuturn off all unussed slot hivyo inawezekana ikawa imekuwa offline.Solution niku iturn on ktk bios.

  3. Angalia jumper za cd rom yako je ziko fresh? kama ktk slot ipo pekee inatakiwa iwe master.

  Njia rahisi ya kusorve ilo tatizo fanya hivi iwapo slot imekuwa mbaya tafuta cable ambayo utaweza kuconnect HDD na CD kisha uviconnect vyote kwa upamoja. na kufanya moja master na nyengine slave.

  Kwakumalizia download dell bios firmware updates ila hii inaitaji umakini wa hali ya juu maana kosa moja unaweza kuizimisha komputer 4 ever.
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 0
  nshukuru mzee, im trying out option number 2, ill let you know the results. hizo zingine nimeshajaribu bila majibu
   
 6. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  poa
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...