Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

LINKI ZA NJE Ndugu zangu kumetokea baadhi ya wanachama wenzetu kwenye majukwaa haya kutoa linki za nje kwenda kwenye baadhi ya tovuti ambazo sio salama matokeo yake ni kwa wale wasiojua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I have a notebook acer aspire 1800. I have a problem. When i connect the a/c cord the notebook start to beeps. and flash the light. Could someone help me.?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow wana jamii Polen na majukumu Nina Laptop HP Pavilion dv2000 but ukienda kwenye system Infomation imeandikwa HP Pavilion dv2700 na kwenye iliyobandikwa karibu na sehemu ya mouse ni HP...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu JF Nawauiiza Swali ipi ni bora kati ya hizi Tatu WINDOWS XP WINDOWS VISTA na WINDOWS 7? Na kwanini imekuwa Bora zaidi ya nyingine? Towa ufafanuzi tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi natumia PC ambayo tunashare na mwenzangu, sasa nina login kwenye forum kama jamii, baadae inabakiza kumbukumbu kuwa nguvumali alilogin, sasa inanikera sana. naleta kwenu wanatechnolia ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
http://www.cnn.com/2009/HEALTH/12/11/bionic.eye/index.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, naingia tena jamvini kwani nilipotea kwa muda kwani huyu provider wangu some times analeta kasheshe. Swali langu sijui kama kichwa cha habari hapo juu nimekiandika sawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zantel wameondoa huduma ya GPRS kuunganisha kwenye computer, ni wiki ya pili sasa najaribu kutumia simu yangu kuunganisha internet kwenye laptop yangu bila mafanikio yoyote. Kila nikiunganisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa mtu mwenye ufahamu atueleze jinsi unavyoweza kununua vifaa kupitia hiyo minada kwa mtu anayeishi bongo na ana hela ya madafu na pia Paypal inatumika vipi kwa hapa bongo,muelewa atuelezee,shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I would like to repair my faulty blackberry handset. Whoever is well acquainted with this skill, please PM or reply the thread so that everybody can get in touch with you in future. Upon...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau habari za kazi,naomba msaada wenu nimekwama kumalizia installation ya operating system ya windows XP service pack 2 ni laptop ya Hp compaq nx9010 baada ya kucopy files inaleta message ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
TTCL wana bundle yao mpya ya 256Kbps up/down unlimited broadband services, wanachaji shs 54,000/= kwa mwezi (VAT inclusive). Kwa ambao wameshaitumia, what is the experience so far? Speed ikoje...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jaman Wana Jf Naombeni Msaada wenu mwenye kujua Configuration za VPN Katika Cisco Router(1814) Step by Step command maana kwenye cisco mimi sio mzuri sana najua kidogo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari yenu wana jf.Mimi na miezi michache tangu ninunue compyuta yangu,wakati nanunua nilikuta nimewekewa antivirus(mccafee),ambayo ilikuwa inahitaji kuwa updated,lakini mimi nika uninstall ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I have an HP Pavilion dv6700 Entertainment Notebook, running Windows Vista. Recently, it has begun stalk/hanging and the monitor become white with lots black dots, and fail to restart by clicking...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF naomba msaada wa Kuremove virus kwenye Computer bila kutumia Ant virus yoyote. Najua inawezekana na Wana JF majibu wanayo. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
While Windows is a versatile and powerful operating system, there are times that it can be frustrating. This frustration is particularly evident when you install a new software application or add...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello friends; Nisaidieni link ambayo nita download freely Ms Frontpage
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It's always fun to write about research that you can actually try out for yourself. Try this: Take a photo and upload it to Facebook, then after a day or so, note what the URL to the picture is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://www.cc.kmutt.ac.th/download/AdbeRdr708_en_US.exe http://www.cc.kmutt.ac.th/download/Install_NOD32_32bit_WLAN.zip
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom