Recovery CD ya Toshiba Satellite A205-5833

jacobae

Member
Oct 29, 2007
68
1
Nina Toshiba Laptop A205-5833 with Windows Vista, nataka kuiformat nahitaji recovery cd yake ili niweze pata drivers zote. Nalimwaga jamvini mwenye msaada tafadhali.
 
Ndugu mimi ninazo hizo cds lakini mpaka weekend ndio naweza patiana kama uko DSM manake sasa niko Mbali kidogo kama hutojali lakini pia unaweza kudownload drivers from www.toshibadirect.com , mimi yangu ina windows xp kwa ajili ya recovery tu
 
Asante mkubwa, sipo dar nitajaribu kucheki na hiyo link ulonidondoshea hapo.
 
Merci Madame - Hata hivyo ukiwa na cd ya windows vista yoyote ni rahisi sana kufanya recovery ya drivers zote kasoro wireless tu ndio inaweza kuwa na utata au VGA
 
Merci Madame - Hata hivyo ukiwa na cd ya windows vista yoyote ni rahisi sana kufanya recovery ya drivers zote kasoro wireless tu ndio inaweza kuwa na utata au VGA
what u mean wireless,nna laptop pia toshiba sattelite inatumia window xp,lakini nna cd recovery za hp compaq window vista naweza kutumia kwa toshiba ama?
 
Mimi nilikuwa na Toshiba kama ya kwako, with VISTA. Baada ya kuona inanizingua (printers, scanners za ofisi zilikuwa hazikubali vista), nilliflash na kuweka XP.

Baada ya hapo nilipata shida maana wireless ilipotea, sound ikawa ya ajabu na mouth pad ikawa inahang mara kwa mara. Nilihangaika sana kutafuta drivers na mwisho wake nillipiga chini ile laptop -sina hamu teeeeena na Toshiba.

So, ni wazo zuri kutafuta drivers kwanza
 
Kama unaona shida kupata drivers jaribu unaweza kutafuta programu zinazofanya kazi ya kutambua driver zako na sehemu ya kudownload driver hizo mara nyingi hizi programu ni kwa asilimia 90 una uhakika wa kupatia driver ile na njia ya pili ni kujua chipset ukijua hilo unaenda moja kwa moja kwenye tovuti ya chipset husika unaweza kupata driver zake kuliko kwenda kwenye toshiba moja kwa moja .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom