Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

NDUGU WATANZANIA SISI NI WATU TUNAOPENDA VYA BURE SASA HACKER WOTE DUNIANI WAMEGUNDU MFUMO WA KUSOMA DATA ZA COMPUTER YAKO AMBAPO UKITUMIA INTERNET KWA SISI AMBAO TU INGIA TECNOHAMA KAMA NITAKUWA...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Huwa natumia dcpromo command kutengeneza domain in a new forest, lakini nikijaribu option za kutengeneza child domain au domain tree, napata error message inayosema "active directory domain...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
iF 5+4+2=201026, 8+6+5=484082, 5+5+6=253050 tHEN 7+3+5 = ???........Umiza kichwa hapo wana JF
0 Reactions
10 Replies
5K Views
watanzania wote wajamii forums kama yesu alivyo zaliwa mi ndo nimezaliwa kuja kusaidia waafrika. unachojua kina kutatiza njoo unia mbie mawasiliano 0712484995 kwenye facebook EDSON KENNEDY EMAIL...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Huwa natumia dcpromo command kutengeneza domain in a new forest, lakini nikijaribu option za kutengeneza child domain au domain tree, napata error message inayosema "active directory domain...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
leo ni siku ya Pili, kila ninapofungua Email yangu na kuingia, nikianza kusoma tu mail mpya hata za zamani, ghafla inajifunga na kunipa ujumbe huu; Sorry your session has expired, Sign in Again...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hey guys, if u wr 2 develop a system and u had to chose a team of five people. What kinda people wud u chose?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana-JF kuna external hard drive imeingiwa na virus, so folder zote zimeliwa but nikiweka kwny pc yenye ubuntu folder naziona na contents zake zote, ninapojaribu kurudisha kwny laptop yenye window...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Post/comment tatu bora kwa kwenye ili jukwaa ni zipi Una ushauri kwa member yeyote kuhusu michango yake kwenye jukwaa hili. Mzizimkavu: punguza copy and paste. kilongwe: Hongera kwa kazi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wajameni naomba anayeweza kunipatia Software ya ava finder professional anifanyie hvyo japo kunipa link nii-download! Kama kawa ntagonga 'Senki you'!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu Mie najiuliza sana hivi taratibu za kuanzisha redio ambayo siyo ya kijamii nchini Tanzania zikoje. Kwani najisikia kuwa na mpango huo lakini sijui A wala B.Suala la vifaa na mtaji siyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nawaombeni msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya ku connect Internet katika Nokia N8. Nimewapigia Airtel na Zantel wote wanasema hawana settings za hiyo simu. Zantel...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana IT naomba mnisaidie nifanyeje email yangu imeingiliwa na watu na wanatuma email kuwa nimepata ajali wanitumie fedha kwenye e-mail zilizo kwenye inbox yangu.na siwezi ku access tena maana na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ivi sub woofer gani ni ya ukweli inayochuja mziki au mdundo ukasikika?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
After my window Xp machine being attached by malware and virus.I decided to install Ubuntu on my machine,I have read that malware developers specifically target Windows operating systems and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Malicious coders and all-out cybercrooks will target newer and hipper forms of digital communication in 2011, according to a report released Wednesday by McAfee, the computer security company...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina unlocked modem Huawei yenye download speed inayofika 7.2Mbps. ofkoz mitandao yetu haifikishi download sleed hiyo. Sanasana kunabaadhi ya sehemu (mijini) Vodacom / AirTel watafikisha 1.7Mbps...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Wakubwa,kwa wale wanaotafuta material kadha wa kadha,munaweza tembeleaAfroIT E Learning Page kwa ajili ya vitabu mbalimbali ambapo una uwezo wa kusoma online.Tunajitahidi kuhakikisha tunaweka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
what was the real difference between 3G and 4G. there is a lot of jargon and, as of december 6th, the formal definition is a moving target but there are two potential answers, one focused on...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Removable flash memory sticks are pretty much one of the most handy little pieces of technology to come along in the last couple of years. They come in various shapes and their storage size can...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom