Tuzime simu kuna mionzi itapita.

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,193
Wadau kuna taarifa nimezipata kuwa ifikapo sa sita usiku wa leo itabidi tuzime simu kuna mionzi inapita. Hii ni
Kwa wale waliopo tz.
Wenye habari zaidi tuambiane.
 
kwani lazima ipitie tz?

stori za wanywa kahawa kazileta huku kwanza umeme hakuna halafu hiyo miale itakujaje? yani iache kupita europe au china au japan huko ije tanzania? labda ungeleta mambo ya uchawi hapo ndio tungekuelewa
 
ha ha ha ha!
Punguza jazba kidogo.
 
Hivi hii kitu kweli ipo au ni imani za watu tu..... Binafsi mimi siku nikiona majini (JINI) itabidi nikimbie hospitali wakanicheki akili sababu taona ndio mwanzo wa kuchanganyikiwa.

ipo hii kitu japo hata mimi sitaku kukutana nayo wala kuimini
 
mhhh hio mionzi itapita kwenye masafa/frequnecy gani

Ikiwezekana tuzime hata na Radio. Simu, TV , etc

hahhaah ni more than kahawa fiction story
 
ipo hii kitu japo hata mimi sitaku kukutana nayo wala kuimini
Hivi wewe ukiona Jitu lina mikono mirefu au ukiona mtu anapaa kwenye ungo, utasema ni kweli ulichokiona au utasema ni Illusion "your mind playing tricks on you" nadhani wale watu wenye mapepo... labda its just multiple personality..... barabara zenye mikosi labda zimejengwa vibaya tu ndio maana kuna ajali nyingi.... na waoona majini labda wapunguze kiwango cha Lager...

Hivi ulishakutana na mtu aliyeshuhudia mtu anapaa na ungo au amepanda fisi?
 
sijawahi ila hizi stori nazisikia tu ndugu yangu ila hadi kweney vitabu vya dini wamesema kuwa wachawi wapo
humu JF kuna mchawi mmoja mimi namjua kama unataka nimtaje nitakutajia
 
mmh! Usije ukatutajia ms tu. Maana huyo babu ameshambuliwa sana jamani.
 
Hivi wewe ukiona Jitu lina mikono mirefu au ukiona mtu anapaa kwenye ungo, utasema ni kweli ulichokiona au utasema ni Illusion "your mind playing tricks on you" nadhani wale watu wenye mapepo... labda its just multiple personality..... barabara zenye mikosi labda zimejengwa vibaya tu ndio maana kuna ajali nyingi.... na waoona majini labda wapunguze kiwango cha Lager...

Hivi ulishakutana na mtu aliyeshuhudia mtu anapaa na ungo au amepanda fisi?

mchawi sio hadi apae na ungo.
Nafikiri wale wote wenye roho za kwanini na wasiopenda kuona wenzao wanafanikiwa na kujaribu kuweka vikwazo ndio wachawi.
Uchawi upo kiimani/kiroho. Roho ikishakuwa mbaya tu....
 
kwahiyo roho mbaya ndio uchawi nakubaliana na wewe je nguvu za giza pia zipo? mfano kuchukua misukule, mapepo, watu kupaa na ungo, kupanda fisi n.k.
 
natamani nijue kama hayo mambo kweli yapo maana hata mimi nafanya kusikia.
Ila kupaa na ungo tunaona hadi kwenye vyombo vya habari. Nafikiri hiyo taaluma wanayo.
 
Back
Top Bottom