Computer yangu inahang...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Jamani nimefanya kila niwezalo, nimegoogle nimedownload kila kitu!!!
lakini bado..
computer yangu niki shut down ina hang tu hapo kwenye black screen afta imeshasema Shutting down. Yani nikitaka kuzima lazimma nibonyeze kitufe cha kuwashia, manually!
Sijui nifanyeje zaidi..saivi sa tisa na asubuhi sijalala..nisaidieni tafadhali!!
*am nt close to any XP CD apa..
Ni Acer Travelmate 4330.
 
haiya, nimejaribu kuirun on safe mode nikashut down ikafanya vizuri..i dont know what that means!??
 
haiya, nimejaribu kuirun on safe mode nikashut down ikafanya vizuri..i dont know what that means!??

Didi you get a permanent solution?
Yaani baada ya kuitumia kwenye safemode ulivorudi kwenye normal mode bado inazungua?
And definately hiko ni kirusi, I onetime got it, you can either repair OS (huna CD) for me I used AVAST kuna neiba wangu alikua nayo, coz I had a deadline and I could die if I lost the data..
 
hello
unasema ulijaribu kui run kwenye safe mode ikafanya vizuri ni sababu safe mode runs on basic apps only. kama una xp windows CD then boot ur from cd-rom with ur cd in and on blue screen select R to recover your system then it will take you on command prompt black screen,niambie kama unaiyo cd ili nikujulishe zaidi kipi cha kufanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom