Tips on technical troubleshooting . Do it youself approach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tips on technical troubleshooting . Do it youself approach

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jan 13, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi mara nyingi nimekuwa naona wanajamvi wanaleta matatizo wakiomba kusaidiwa. Uzuri wa jamvi hili tunkutana watu wenye uelewa , uwezo, na profession tofauti tofauti.

  Lakini binafsi kama Junior IT profession napenda kumuwezzesha nauona mtu au watu wanajua jinsi ya kutatua matatizo madogo madogo wenyewe.

  Kwa hiyo nashauri iwe ni configutaion ya simu kupata internet computer/laptop ina tatizo fulani kuna vitu tunawweza kuajribu kufanya wenyewe hata kama hatuna utaalam sana

  1. RTFM

  kanuni ya kwanza kwenye troubleshooting inaitwa RTFM( Read The ****ing Manual)
  Kuna article nimesoma 80% ya matatizo watu wanayopata kuhusu kompyuta yanaweza kutatuliwa kwa RTFM. soma http://www.readthe****ingmanual.com/

  Wengi hata mimi huwa natupa manual vitabu vya simu au vifaa vingine lakini uzuiri siku hizi kuna internet vinaweza kupatikana kwenye WWW( Internet)

  2. MANUFACTURER WEBSITE

  Tembelea tovuti ya watengenezaji( manufaturer) wa bidhaa husika. Nenda kwenye kipengele cha support na troubleshooting . Mfano Nokia kwenye tovuti yao wana common problem na solution ya issue nyingi kulingana na brand fulani. Kama ni laptop kabla ya kutafuta suluisho kwa third party kama mtazamaji, au driver kutoka tovuti ya CNET.com ni vizuri kwanza ujaribu kwa manufacturer. Kama tatizo ni internt ya zain je umepiga customer service???? Ni vizuri mtu anapoleta tatizo awe amejaribu hizi na aseme ameshindwa nini au amepata respose gani

  3.Google it.( Search it)

  Kwa kutumia google na search engine nyingine siku hizi mtu unaweza kuwa mtaalam wa kila kitu. Unachoitaji ni kuwa na muda wa kusoma na kuchambua mchele na pumba na kuzifanyia kazi.

  Through intenet you can be well infomred in evertything if not anything ........

  Through internet unaweza kutembea na kuijua mitaa , maduka na hoteli za za paris au Newyork huku ukiwa uko dar.

  But kama huna muda au umekwana we are happy to googgle it for you.

  Changamoto

  Ni vizuri tukileta matatizo basi tuonyeshe japo tumejaribu kufanya nini regadrless of knowledge yetu kwenye subject .

  Pia tujitajidi kuwa specific kwakuta detail za OS ,hardware na mdel ya vifaa vyenye matatiza.Mfano kusema nataka driver za HP mtu atauliza za OS gani? mwingine atakuja kuuliza driver gani utasema za network . Nitazidi kuuliza kadi yako ya network ni model gani. Utasema ni Broadcom au nextreme gigabit.

  Kwa kuwa specific na kutoa detail zaidi ya tatizo unapguza mlolongo wa maswali na kuongeza idadi ya majibu utakayopata

  Nawasilisha mada iko wazi kwa kuponda,kuongeza kurekebisha ,kukosoa ,etc
   
Loading...