Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rural Swagga, Jan 13, 2011.

 1. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nina shida na Drivers za Desktop, Dell OPTIPLEX 755,kwa anayeweza kunisaidia nitashukuru sana
   
 2. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umekosa hapa? support.dell.com
   
 3. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nazipata lakini nikiInstall zinazingua inakwenda mpaka inasema finish,lakini tatizo liko palepale
   
 4. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  finish kuinstall au kuextract?

  nenda device manager, halafu angalia driver zinazomiss. Then install them kupitia hapo.. kama hujaelewa sema so i go into details.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  driver gani hasa nakuwa specific na model ya hadware unayotaka tukupatie

  eg Netword adapters
  -sema kama ni Atheros AR5005g wireless adapter
  - semakama ni Realtek RTL8139 ethernet.......

  Display Adapter- ATI Radeon Express 200m Series

  Nenda kwenye computer mananagement cheki device drivers kujua detail za driver unazotakiwa kusaka.
  Vile vile jkama OS yako ni vista 32 nenda kwenyekiunganisho hiki http://support.dell.com/support/downloads/driverslist.aspx?c=us&cs=19&l=en&s=dhs&ServiceTag=&SystemID=PLX_PNT_P4_755&os=WLH&osl=en&catid=&impid=.

  Kama umeweka Window 7 naona model yako haikuwa designed kwa ajili ya window 7 so gowebsite za third party au manufacture wa driver eg Broadcom, ATI, etc

  Otherwise nadhani unakwama hata kwenye ste ya del.com kama alivyokushauri jamaa sababu hujui hata hizo detail za driver gani utafute. So know the specific detail za driver unazotakiwa kutafuta then utapata msaada ukizikosa dell unaweza kuzipata Cnet.com
   
 6. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  site ya dell iko streit forward. as long as akijua model ya desktop na OS yake basi dell itamsaidia!
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Yah ingawa sina mashine ya dell nimjearibu mwenyenye kutumia model aliyosema nimefuata link ya dell na sijaona tatizo. ila labda kama ana window 7 sababu sijaona driver za window 7.

  Katika experince yangu ya support nimegundua mara nyingi user hawaelezi true problem. Sometime u can spend hours trying to solve an unexisting or incorrectly explained problem. And thing become worse sababu tuko remote

  So lets assume kwa sasa tatizo ni kuidentify specific details za drivers zake. na tujue anautumia OS gani
   
 8. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 9. rancosys

  rancosys Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PC MODEL IS GX 755,, WHICH OPERATING SYSYTEM U R USING?
  Pia Jitrahidi unapo tafuta msaada juu ya tatizo fulan hasa ktk masuala ya PC or laptop.. Elezea aina ya machine na vilivyomo ndani yake
  Kama unaona taabu au hufaham wapiu utapata maelezo juu ya machine gani unatumia
  Fanya yafuatayo
  Baada ya kuwasha machine yako, Bonyeza palipo andikwa START (start button), Chagua RUN, Type this command "dxdiag" ( usiambatanishe funga semi na fungua semi), Then press ENTER. Hapo utaona MAELEZO JUU YA AINA GANI YA COMPUTER UNATUMIA,,

  The Itakua rahisi kwa wasomaji kujua namna gani wataweza kukusaidia/


  Santa wadau wenzangu,,,
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kwa nini watu wakipewa advice hawarudi kutoa kilisha-nyuma

  NB
  kilisha nyuma= feedback
   
Loading...