computer inagoma ku log on...

Wifra

Member
Jul 28, 2010
6
0
computer yang nikiwasha inadisplay black then ina logoff automatically. nini tatizo na solution ni ipi?
 
MJINI CHAI

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
2,177
2,000
computer yang nikiwasha inadisplay black then ina logoff automatically. nini tatizo na solution ni ipi?

Aina gani ya computer?, inadisplay black then ina logoff automatically....!!!!!!!!!!! (to display black means you cant see anything on screen, to logoff means computer restart while screen display logoff) is it you mean?
 
Given Edward

Verified Member
Jan 11, 2011
860
195
listen hiyo ni kwa sababu file la winlogon.exe/dll limeharibiwa either na virus or deleted. Unachotakiwa kufanya ni kurepair upya, of course with windows XP installation CD or Vista Installation CD kama ndiyo unayoitumia
 
Jobless B

Member
Jan 12, 2011
29
0
Mi pia nkiwasha inaniandikia your battery is low start window normally but nkichoose hapo inazima na kurestart tena wakati nmechomeka adapter kwa muda mrefu na nkichek level ya battery nakuta imejaa lakin haija be installed je ni tatizo gani?
 
Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,301

Toa maelezo yaliyoshiba muzei!
 
Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,774
0
computer yang nikiwasha inadisplay black then ina logoff automatically. nini tatizo na solution ni ipi?

This is ambiguous if not contradictory statement . O nly the likes of sheikh yahya can solve it.
Try to be clear and give as much detail as possible. when expalaing your problem r emember u re in Newyork and we are in Manzese Dar es salaam.

Otheriwse the best but unprofessfional advice is FORMAT and do new installation
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom