Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Jamani naulizia hii kitu kama inapatikana ,ili kueleweka kuna game nyingi(software) kwa mfano mzuri ni Chess, sasa napenda kuulizia kama drafti hili la kikwetu tulichezalo shule au kwenye vibaraza vya mitaani kama ipo software au game yake inayoweza kuchezwa kwenye PC kama ilivyo Chess ,ni hilo tu.