iPhone is not detected on my computer, help plzzz!!

Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
2,333
2,991
Msaada:Ninatumia simu aina ya iPhone, ni mwezi sasa imekuwa na tatizo la kutotambulika kwenye computer, nimenunua new cables, lakini haijasaidia, i used to charge with my computer, lakini sasa haiwezekani. Msaada tafadhali.
 
Update Itunes yako au Kagua port yako Kama inakubali device nyingine. If ok while connected hold power switch and home button simulteneously for about 10 sec untill you hear a beep sound
 
mkuu ebu jaribu kuangalia kwenye kitako unakoingizia cable jaribu kupasafisha mkuu alafu uweke tena pia hakikisha cable yako ni nzima mkuu
 
Update Itunes yako au Kagua port yako Kama inakubali device nyingine. If ok while connected hold power switch and home button simulteneously for about 10 sec untill you hear a beep sound

mkuu hyo ya kuangalia usb port inakubali device ingine upo sahihi 100% ila la kuconnect na kuhold power switch na home button uko unampeleka kwenye dfu mode na yy aitaji kuiflash yy shida yake ni kuchaji iphone yake
 
Nimekusoma drphone ila kusudio langu la kufanya dfu ni kuhakiki kama hardware connectivity ziko ok,,ikikubali atajua sio hardware ni issue ingine
 
nimekupata mkuu nilistuka tu mkuu mana ikiingia itakuwa kmya kama imezima ataukiweka cable aitakubali m2 asokuwa mtaalamu anajua cm kushnei kumbe wapi
 
ninayo hapa iphone 2g jail brocken,inapiga kazi njema tu sema nikiitia miziki au video ndo inanipeleka itunes na nikienda huko ndo ile habari inazima mpaka nipeleke kwa mtaaluma aijaze tena programme
 
mkuu natamani nilielewe vyema tatizo lako zaidi nikutatulie once licjirudie tena na uweze kuingiza unavyotaka
 
yah lakini kunisaidia zaidi mtafute mtu anayetaka,
unlocked iphone 2g
16 gb
back silver
in good working condition
headphone+usb cable
bei nishauri bei gani itafaa
 
mkuu iyo peleka jukwaa la matangazo humu tunasaidiana zaidi maujuzi kuelimishana msaada nilomanisha mm ni kukuflashia bure
 
Thanx members, tatizo halijtatuka, iTunes sio tatizo, device haiwi detected
 
Last edited:
Thanx members, tatizo halijtatuka, iTunes z nt a problem, device haiwi detected

du pole sana mkuu kama kwa maelezn yote yalotolewa bado lazima tatizo nisirias i wish niione ningejua chakufanya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom