Vodafone K-3565-Z bila Connection Manager inawezekana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodafone K-3565-Z bila Connection Manager inawezekana.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by gomer, Jan 12, 2011.

 1. g

  gomer Senior Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 109
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Inawezekana pitio la mjadala uliopita ukawakanganya watumiaji wa kawaida, likabaki kuwa la akina DrPhone, Calvin Power na wenzao waliobobea kwenye nyanya hizi.


  Ifahamike Vodafone Mobile Connect inatabia ya kuchukua taarifa zetu muhimu kama tulivyokubali wakati wa kuisimika, ila tunautashi wa kusitisha kupelelezwa.


  Kwenye mada hii tutachukulia programu ya Vodafone Mobile Connect tumeshaisimika, hivyo kifaa chetu kinatambulika na Windows OS kama modem.


  Tukichomeka modem, tufunge kipeperushi chochote cha kutaka tuungane na vodafone connect. Iko namna ya kuondoa katabia haka.


  Twende kwenye manage network connections na tufungue Dial-up yenye uhusiano na ZTE Proprietary USB Modem. Hapa tutaunganishwa na mtandao husika bila zengwe. GSM simcard zote zinafanya kazi.

  Tukipenda tunaweza kupeleka link desktop.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  umesomeka mkuu
   
 3. D

  Dansel JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaaap hata m huwa nafanya hivyo ila n vizuri ukawa na software za mitandao yote ili uwe unaangalia daily uses
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  sio lazima kutumia software,iwapo umechakachua vizuri sim card yoyote utakayo weka itatumia connection hiyo hiyo, lakini kama utahitaji kutuma sms na ku chek balance hapa utahitaji sofware zipo kibao.
   
 5. c

  chelenje JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimewasoma wakuu
   
 6. D

  Dansel JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  v
  Hapo nakubaliana na wewe mkuu maana kwa sasa nimepata JOIN AIR naitumia sa hv, Ila zain n wahuni wanakupa 300MB kwa cku moja, Wizi mtupu
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Vipi Vodafone K3765 - Z?
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  No! Tuma neno 'internet' kwenda 15444 utapata 400mb kwa mwezi tsh 2500.
   
 9. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,225
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  pia akumbuke ku REPLY kwa neno NDIYO hapo atakuwa amejipatia mb400
   
 10. anania

  anania Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Samahani mkuu hapo ina maana hakuna umuhimu wa kuchakachua kwa kutumia Dc- Unlocker?senkiyu mkuu
   
 11. g

  gomer Senior Member

  #11
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 109
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ndio kifaa hiki cha zte hakina haja ya kukichakachua, ni suala la kukiboresha.

  https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/102042-vodafone-k-3565-z-imewezeshwa-simcard-zote.html

  Tahadhari, si vyema tukatumia vodafone connect, inakomba mwenendo wetu wa kuperuzi internet. Ni bora tukazuia ukombaji kabla ya kuitumia.

  Tutathmini hii connection manager, kwa wale tunaopenda kuulizia tulichotumia na kubakiza.

  http://xseries.three.com.au/3/three/MobileBroadband/quickstart/HOSTA46.11.107.04.00.100.zip
   
Loading...