chizi computer kaka yangu huwezi ukawa msikilizaji tu kama mimi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chizi computer kaka yangu huwezi ukawa msikilizaji tu kama mimi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Slave, Jan 10, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kwa kweli wakati mwingine hata mimi najisikia vibaya unapo andamwa na watu. lakini nikichunguza sana naona kama unajitakia mwenyewe.hapo mwanzo nilikuwa nadhani labda ndiyo kanuni yako ya kujifunzia mambo hapa jf kupitia malumbano ili katika hayo uweze kujichukulia point za kufanyia kazi.
  pamoja na hayo umeshindwa kunishawishi niamini kwamba wewe ni mtaalam wa mambo ya info tech. kwanini? kwa sababu umeshindwa kuwasoma members wa jf elimu zao na uelewa wao.wewe una force watu waamini tu kwamba wewe ni mtaalamu bila kufafanua what, how,why. hivyo ninakuomba uwe kama mimi msomaji tu inapobidi kuandika topic basi iwe ni kuuliza kitu kinacho kusumbua katika utaalamu wako ninaimani unaweza kuvuna mautaalamu mengi sana humu kama mimi. mtu kama CP na DR PHONE nawengine wengi wamenifanya niwe na uelewa zaidi katika mambo haya ya TECHNOLOGY.

  SIMBA MWENDA POLE........? AU WANA JAMII FORUM MNASEMAJE?
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kwani amefanya nini huyu kijana???!
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mkuu huyu bwana hajafanya kitu kibaya ila anatofautiana na wasomaji wake wanapotaka kujua kuhusu topic zake yeye anashindwa kufafanua badala yake anakuwa mkali!!
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nakubaliana na ww mkuu akuna mtu anayejua kila k2 kuliko wote duniani so acha kudharau wenzako na wakuwambia wanamajungu, wanajifanya wanajua wakati wanapingana na ww kwa hoja ukizidiwa unatishia kujitoa tunaitaji fair play mkuu
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  WAZEE LETS LEAVE THE BOY ALONE.......

  There is nothing like hope and desire....... now I don't know if this boy has got talent, and creativity... but sure he has desire with all his weaknesses....

  Kwahiyo tunapomuandama huyu dogo, kumshambulia hadi kumfungulia Topic yake.... sidhani kama itamsaidia, sana sana ni kumvunja moyo. Please lets not Kill the boy's desire.....

  Technology / Computer / Programming its all about Creativity na Utundu sasa tunapoanza kuponda writing skills za huyu dogo instead ya kumuuliza na kumuonyesha where he is going wrong, we might end up with turning this Technology Forum into Jukwaa la Lugha au The Battle of Who Knows More Than Who....
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  He is the 1 who wants to turn this forum into the battle of who knows more than who! the boy talks like Mr I. Know All, never admits to mistakes, wants no challenges, he never wants to be proved wrong!! Thats should not be the behaviour of an IT GURU (He claims to be). Binafsi sina ugonvi na huyu mtu, ispokuwa wakati mwingine anaboa, hashauriki, hasikilizi anataka askilizwe yeye tu!
   
 7. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa ujumla mi simpendi kabisa, anaposti kitu kama anajua kila kitu duniani kwenye maswala ya teknolojia. Yeye ni nani hata ajue kila kitu?
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sijawahi kumsoma sana, ila ngoja nimsome nimuelewe halafu ntarudi hapa. But tusimvunje moyo sana kama mkuu mmoja anavosema hapo juu, ila tutambue tatizo lake then tumsaidie asonge Mbele. Na hapo tutakuwa great thinkers wa ukweli.
   
 9. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 594
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  mh?.......
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Ushauri mdogo tu kwa dogo ni kuwa atambue this is the home of great thinkers.
  Memba atatambulika na kukubalika kwa wenzake kwa hoja zake na si majigambo na matangazo meeeengi, mfano kila post unaweka no ya cm, mara uandike chizikompyuta nk hii inawatia wasiwasi watu kuwa umekuja kibiashara zaidi.
  Jukwaa hili lina memba wanakubalika mfano drphone na calvinpower na wengineo wanaheshimika sana kutokana na mchango yao lakini hii haina maana hawapati chalenji, no wanahojiwa na wana adimitt wanapokosea au kama hawajui hicho kitu.
  Sasa unapokuja na mbwembwe nyingi halafu unashindwa kuonyesha ni jinsi gani ulivyo mahiri kwa kuishia kulalama kuna majungu hasa pale unapoulizwa au kukosolewa.
  Labda nikujuze kuwa hapa kuna watu wapo full nondo kuanzi ujuzi hadi kielimu na ndio maana unapata tabu sababu uwasilishaji wako unatia mashaka kama unaelimu ya kutosha kuja mbele ya great thinkers na kuanza kutafuta ufalme.
  Tulia dogo jaribu kusoma post za nyuma za jukwaa hili utapata picha ya nini chakufanya
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani nafikiri ni vzuri kuita wembe wembe na akuna anayepingana na chizicompter ila inaonyesha anaogopa kivuli chake mwenyewe alafu humu jamvini ucpende kujigamba atakwaicho unachoamini unakijua kwani wapo wanaojua zaidi yako. Alafu mwisho tuache hii dhana yakusema tumwache kisa atajitoa simple nikukubaliana na upotoshaji mwingine anaopost binafsi namshauri akubali kukosolewa pale inapobidi kama vp ajibu kwa hoja si kwa lugha chafu
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mhhh!! mnajuana wenyewe bwana.
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mbona ujachangia
   
 15. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mnaona hata kuchangia huu ushauri hajachangia any way lets leave him alone.
   
 16. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  no hata ww umo mkuu ucjitenge
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ndicho tunachofanya wala atupingani sema yy ni kama ambilki fulani hivi
   
 18. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Post what you know, ask what you don't know, accept constructive criticism.
  "Try to be expert in everything and you become expert in nothing"
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Halafu haka katoto kamejaa kiburi! Kanasoma tuu hizi post hakato maoni yoyote ili watu wakaelewe! Baadaye kanaanza kulalama JF imejaa majungu na kutishia kuondoka JF (kalishafungua thread kabisa ya kuaga JF!!!). Humu ndani kuna wabobezi wa technology ambao ukisoma post zao unajifunza vitu vya maana kabisa, na hata ukimchallenge anaccept, hiyo inakupa wewe ujuvi na yeye ujuvi zaidi! Pia kanaonekana kako kijasiriamali sana, hakachelewi kusema "hiyo ishu ndefu hatuwezi kuizungumzia kwenye maandishi-wewe hautaielewa"!!!! Kujinadi kwiiingi.
  Binafsi nakupa moyo sana Chizi-Comuter (na hilo jina limekaa kihunihuni sana) komaa, heshimu watu wote: we are all learning here. BigUP to Dr na wengine, mfunzeni dogo ethics!
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  heko mkuu tupo pamoja mkuu hope msg imemfikia ss kazi kwake
   
Loading...