Wandugu wooote salaam sana. Ninauliza kama kuna mtu mwenye software ya Hotel managment yenye uwezo wa kuprint service voucher/invoice/ cash in/out etc.???
Mambo vp wanataaluma,naombeni msaada kwa anayejua security code za nokia 2690,nimejaribu zile za kawaida 1234 na 0000,lakini sikuambulia kitu,ila nikiweka line ya voda ni fresh kabisa haitaji...
A University of Western Ontario researcher seeking to determine the genetic sequencing of schizophrenia has observed that even identical twins are not exactly alike at the genetic level.
The...
Dunia imegundulikuwa kuwa si duara bali ni kama kiazi. katika umbo jipya linaloonesha ukanda wenye mgandamizo mkubwa wa nguvu za uvutano na mdogo(Gravitational force). Tanzania tupo ukanda wa...
Nina camera digital aina ya casio exilim EX-Z16 yenye 12.1 megapixel na zoom ya 3x niliyoinunua mienzi mitano iliyopita huko Spain ambayo imekuwa na matatizo yafuatayo;
Sijawahi kuidondosha...
Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu mkongo wa Taifa:
1. Je umekamilika?
2. Je tumeshaanza kuutumia? Kama jibu ni ndiyo, mbona basi speed ya internet iko vilevile kama zamani na mbona bei...
Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kutumia simu yangu Nokia N95 Nsiries kama mordem. Computer yangu ni aina ya Compaq yenye window Xp professional. Msaada tafwaaadhali.
Kuanzia leo nitakua hapa kama muwakilishi wa kujitolea wa airtel so kama una tatizo lolote kuhusiana na line yako,na matumizi ya mtandao wa airtel kwa ujumla tafadhali jiskie HURU...i'M HERE FOR YOU
Kutoka majuu
Microsoft Files Antitrust Complint Vs Google
Once the focus of antitrust complaints itself, Microsoft sets its targets on Google
The tables -- or in...
msaada tafadhali natanguliza shukrani
nina tv yangu aina ya
Ferguson F2620LVD 26in LCD TV
lakin kila niki play video kwenye ile screen naoan picture motion ina chelewa ku respond...
TAKE THIS:panda:
Ilo tatizo nilikuwa nalo lakini liziinstall kwa kutumia copyuta huwa zinapatikana kwenye SETTINGS-SECURITY -certifaicates kwanza unabidi huwe na
1. nokia pc suite
2.usb cable/pc...
habari zenu bana niaje wadau wa jf...naomba msaada wenu wadau nina ipod ya 1Gb kila nikiweka nyimbo inaktaa afu imeblock nikirestore inakuwa poa ila nikiweka 2 nyimb aimalizi ku syclonise...