Security code ya Nokia 2690

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Mambo vp wanataaluma,naombeni msaada kwa anayejua security code za nokia 2690,nimejaribu zile za kawaida 1234 na 0000,lakini sikuambulia kitu,ila nikiweka line ya voda ni fresh kabisa haitaji niweke security code,lakini nikiweka line za tigo,zantel,airtel ndio inanitaka niweke hyo kitu.
 
Mkubwa nokia zote original code zake ni>12345 ila kama uliwahi ku change code na umezisahau itabidi uwaone mafundi simu.hapa cha msingi kwanza ni wewe kuwa na uhakika na hiyo simu kama ni org au ni copy from chinese.kama utagundua cm yako ni copy nakushauri ujaribu kutumia code hizi >> 1122, 1234, 0000, 2233. Hizi ni code za simu za kichina. VUTA SUBIRA WATAALAM WA MAMBO HAYA WATAELEZEA ZAIDI.
 
Nenda kaiunlock kwa watu wanao flash simu hizo code kama zimekataa ujue kuna mtu alizibadilisha
 
fundi ni wewe mwenyewe na Computer yako nyumbani, usikubali kwenda kwa fundi kwa tatizo la Software..kupata Unlock code za Nokia ni rahisi, tembelea hii site (Nokiafree unlock phone codes calculator software) utaweka imei za simu yako, type (*#06#) on ur phone upate 15Dgts utakazozitumia kuCalculate Master Code ya simu yako, Master Code inaOveride code yoyote iliyopo hata kama uliisahau..angalia pia Online Calculator uone aina ya simu zanazokuwa supported..cheerz'
 
Back
Top Bottom