tangazo kwenu ndugu wadau

ccr airtel

Member
Mar 27, 2011
96
13
Kuanzia leo nitakua hapa kama muwakilishi wa kujitolea wa airtel so kama una tatizo lolote kuhusiana na line yako,na matumizi ya mtandao wa airtel kwa ujumla tafadhali jiskie HURU...i'M HERE FOR YOU
 
Hivi hao airtel, hawana website?

Hata hivyo ongera sana kwa kujitolea kwako, japo ujasema una uhusiano gani na hiyo kampuni ya airtel!
 
website ipo www.airtel.co.tz mimi nimeona ni vyema tu kujitolea kutatua matatizo madogo madogo kwa maana nyingine vijiswali vya hapa na pale vinavyowatatiza wanajamii wenzangu i think that is good...na kuhusu uhusiano nao ni kwamba nina ufahamu wa kutosha kuhusiana na hii kampuni na bidhaa zake nani mfanyakazi pia
 
karibu sana,
uzuri pia mna sponsor hili jamvi..
 
Mr husninyo nimeona hapa umepost kwa kutumia mobile ina maana unatumia simu katika hii forum mayb na katika website nyinginezo...basi kuna ofa special kwa ajili yako inayojulikana kama browser bundle ambapo unapata mb 400 kwa shillingi 2500 kwa hesabu za haraka haraka ni kwamba utakua unatumia mb 10 kwa shilingi 62 tu tofauti na matumizi ya kawaida ambapo inakugharimu 150 kwa mb 1 tu.ni bundle ya inayokaa kwa mwezi mmoja na na baada ya hapo ina expire jinsi ya kujiunga kama umeshajiunga na huduma ya internet,basi andika neno internet kisha tuma kwenda namba 15444 kisha baada yahapo utadhibitisha kwa kusema ndiyo,utakatwa hiyo sh 2500 na utapata 400mb for the whole month

@sangara thx very much brother
 
I hope huyo ni Mrs.. ngoja atuambie
 
heee! We, mi sio mr husninyo. Mi miss jamani.
Ahsante kwa maelezo. Ila situmii simu kwa internet tu, vipi huduma zingine? Vipi network sio mizinguo? Naona gharama zenu ni nafuu ila unanihakikishiaje ubora wa huduma?
Isiwe rahisi aghali.
 
Kuanzia leo nitakua hapa kama muwakilishi wa kujitolea wa airtel so kama una tatizo lolote kuhusiana na line yako,na matumizi ya mtandao wa airtel kwa ujumla tafadhali jiskie HURU...i'M HERE FOR YOU

Kawambie kwanza walipe kodi ambayo wamekwepa kinyemela kwa kubadili jina. Baada ya hapo ndio tutaelewana. Je inakuwaje unakuja kuwatetea Mafisadi hapa?
 
heee! We, mi sio mr husninyo. Mi miss jamani.
Ahsante kwa maelezo. Ila situmii simu kwa internet tu, vipi huduma zingine? Vipi network sio mizinguo? Naona gharama zenu ni nafuu ila unanihakikishiaje ubora wa huduma?
Isiwe rahisi aghali.

mie mwanzoni nilifikiri ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanaume ya brazil,, kumbe ni miss
 
Kawambie kwanza walipe kodi ambayo wamekwepa kinyemela kwa kubadili jina. Baada ya hapo ndio tutaelewana. Je inakuwaje unakuja kuwatetea Mafisadi hapa?

bwana wacha me naona nikuwache tu...coz naona u r out of sylabus brother kama sio topic
 
heee! We, mi sio mr husninyo. Mi miss jamani.
Ahsante kwa maelezo. Ila situmii simu kwa internet tu, vipi huduma zingine? Vipi network sio mizinguo? Naona gharama zenu ni nafuu ila unanihakikishiaje ubora wa huduma?
Isiwe rahisi aghali.

yah ni nanufuu sana madam tunaongea kwa nusu shillingi mchana kutwa...nausiku usiku kama saiz ni robo shillingi tu...tatizo linakua sio salio tena bali charge na usingizi
 
nimekupata. Nitatafuta line ya airtel nijionee. Nikiona sivyo nitaitupa. Eti eeh?
Off topic: hawa airtel wakulipe hii kazi mpya uliyojitolea.
 
Back
Top Bottom