Casio Exilim inanichanganya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Casio Exilim inanichanganya!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ligogoma, Mar 31, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,137
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Nina camera digital aina ya casio exilim EX-Z16 yenye 12.1 megapixel na zoom ya 3x niliyoinunua mienzi mitano iliyopita huko Spain ambayo imekuwa na matatizo yafuatayo;

  Sijawahi kuidondosha wala kuigonga popote na ni bado mpya coz sijaiotumia sana maana haijapiga hata picha 300.

  1. ilianza kwa kutoa maandishi ya `try again later` kwenye screen yake pindi unapaiwasha na kisha kujizima
  2. Unapoiwasha tena inatoa maandishi ya `lens error try again later` na kisha kujizima kwa hiyo nikawa siwezi kupiga picha yoyote.
  3. Baada ya muda ikaanza kupiga picha but inatoa katika kiwango hafifu sana kama vile kuna ukungu au maji.

  Mimi kiukweli sina utaalam wowote katika maswala haya ya electonics lakini huwa sipendi kupeleka kitu kwa fundi mpaka nijue tatizo lake kiundani ili mafundi wasinizingue maana mafundi wengi wakorofi sana.

  Wana JF anyeweza kunijuza tatizo hapo msaada tafadhali.
   
Loading...