Nokia N95 inanichanganya!!

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Waungwana naomba msaada wa jinsi ya kutumia simu yangu Nokia N95 Nsiries kama mordem. Computer yangu ni aina ya Compaq yenye window Xp professional. Msaada tafwaaadhali.
 
Umekwama wapi mkuu? jaribu kunyoosha maelezo, je umefanyaje na ikawaje au huju pa kuanzia kabisa? hii itawapa wataalamu namna nzuri ya kukusaidia.
Je umedownload na ku install nokia pc suite ktk pc yako?
 
Pia inawezekana N95 yako inaweza kuwa mchina maana wachina hawachelewi wamekopy zote saiv hadi N97 watu kibao tu wanazo fake
 
Tatizo waulizaji hawatoi ufafanuzi wanapotakiwa na pia hata mrejesho hakuna
 
Back
Top Bottom