Kuzuia baadhi ya watu kutonipigia cm

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Niliangalia kwenye orodha ya simu zilizoorodheshwa aina ya simu yangu haikuwepo nifanyeje? Aina ya simu ninayotumia ni nokia 5130 express music
 
Mh hapa mkuu haupo wazi. Yani namaanisha hujaweka waz tatizo lako ni nini haswa. Jaribu kutoa maelezo kidogo mkuu
 
Ninahitaji kuinstall proglam ya advanced call au block list kwa ajili ya kuzuia baadhi ya watu kutonipigia
 
  • MCleaner 1.4.1
  • MCleaner is a firewall software which can manage your sms and call,and blocking incoming calls and sms automatically.It's can filter incoming call and sms according to pre-configurated keyword(sms) and phone number(could be partial match), and you can set a profile to set MCleaner working mode quickly, and also scheduler mode is supported.The set-up is very simple, it has got many unique features as follows:
  • http://www.mcleaner.com/index.jsp
 
5130 ipo katika jamii ya Symbian S40 kwa upande wa platform,, advance call manager ipo kwaajili ya Symbian S60 na platform zingine zinazosupport 'sis' applications, kama umenipata hapo!..pitia Nokia 5130 tutorials na forum zinazoongelea matatizo ya S40 uone kama utapata solutions..
 
Most chinese phones zina hiyo service ya blacklist, hapo unablacklist namba na ikikupigia itasema haupatikani ila wewe unaweza kujua kama uliyem blacklist kakupigia though wakat anapiga hutaona.
 
Back
Top Bottom