The aerth is not ball shaped but is potato shaped:Scientist

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Dunia imegundulikuwa kuwa si duara bali ni kama kiazi. katika umbo jipya linaloonesha ukanda wenye mgandamizo mkubwa wa nguvu za uvutano na mdogo(Gravitational force). Tanzania tupo ukanda wa mgandamizo mdogo.



HTML:
At first glance it looks like a potato-shaped asteroid flying through space.
But this multi-coloured image is actually the Earth - and shows how gravity varies on different parts of the globe.
The images were unveiled today by the team behind the GOCE satellite at a conference in Munich and are the most accurate ever released
.

Source: What our planet REALLY looks like?Real Shape Of Earth ~ COSMOS TV LATEST NEWS
 
Dunia imegundulikuwa kuwa si duara bali ni kama kiazi. katika umbo jipya linaloonesha ukanda wenye mgandamizo mkubwa wa nguvu za uvutano na mdogo(Gravitational force). Tanzania tupo ukanda wa mgandamizo mkubwa.


[

Hii ya dunia kutokuwa duara kama mpira mbona inajulika siku nyingi tumefundishwa hata sekondari kuwa dunia iko kama yai. na kwamba dunia sio smooth.

Nadhani hii sio new knews.
kipya hapa naona wametoa yai wameweka potato
 
Back
Top Bottom