Ferguson F2620LVD 26in LCD TV ina matatizo naomba msaada !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ferguson F2620LVD 26in LCD TV ina matatizo naomba msaada !!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mwakyoma2011, Mar 31, 2011.

 1. m

  mwakyoma2011 Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG] msaada tafadhali natanguliza shukrani

  nina tv yangu aina ya
  Ferguson F2620LVD 26in LCD TV

  lakin kila niki play video kwenye ile screen naoan picture motion ina chelewa ku respond yaani sauti ina sikika fresh xema motion ya picture inakua iko slow sana !!!! naomba msaada wenu jaman......
  also ina2mia adapter yenye volt 12 ampia 4.5 mm na2mia adapter yenye volt 12 ampia 3 aliwez likawa tatizo
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ni tatizo kwn umeme ni mdogo ndo mana inzingua jaribu kuwa na adapter ambyo wao wamesema
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  natumaini hiyo video unaplay kupitia dvd player, sio? na unapoangalia tv inafanya hivyo hivyo? huenda dvd player ndio yenye tatizo.
   
Loading...