Swali kuhusu ule Mkongo wa Taifa (Fibre Optic) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kuhusu ule Mkongo wa Taifa (Fibre Optic)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Soki, Mar 30, 2011.

 1. S

  Soki JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu mkongo wa Taifa:

  1. Je umekamilika?

  2. Je tumeshaanza kuutumia? Kama jibu ni ndiyo, mbona basi speed ya internet iko vilevile kama zamani na mbona bei hazijashuka kama ilivyotarajiwa?

  3. Kama haujakamilika, je ukikamilika kutakuwa na unafuu wowote au ni PROPAGANDA TU?

  Najua hapa JF kuna watu wanaojua. Naomba mtujuze tafadhali.

  Ahsanteni!
   
 2. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nami nasubiri majibu nipate maujuzi
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Au pengine hii topic inatakiwa PIA ijibiwe na wanasiasa? Naona swala la lini labda ningelipeleka kwenye jukwaa la siasa. Lakini kuna mengi ya kisayansi na kiufundi pia katika mada hii. Pia BAADHI ya wanasiasa hutembelea jukwaa hili la sayansi pia hivyo wataweza kutusaidia.
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeshaanza kutumika kipindi na nafuu ya speed ipo na bei imepungua kwa kiwango kikubwa sana. Kutokuwepo kwa speed naona inategemea na ISP na kiwango cha band-with kilichonunuliwa
   
 5. S

  Soki JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kumbe tatizo langu ni kwamba nilikuwa nina matarajio makubwa zaidi!! Nilitarajia kuweza kudownload movies faster zaidi na ku-watch live progrmmes na kuweza kupiga nje ya nchi kwa nafuu zaidi. Au pengine bado wataboresha zaidi??
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Haujakamilika in the sense kuwa zile link za kusambaza nchi nzima bado hazijakamilika.

  Bei zimepungua sana angalia package ya Unlimited Voda au bei za broadband ya TTCL sasa hivi ukifananisha na kabla ya fiber.

  Nadhani kushuka zaidi mpaka ije cable itakayoleta ushindani maana investment ya kujenga fiber ya baharini ni kubwa sana, so bei haziwezi kuwa low.
   
 7. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Kama nakumbuka vizuri mwaka jana wakati haya mambo yanaiva kulikuwa na optic fiber cable companies/consortiums tatu. Hivyo kam zote zimeanza kufanya kazi ushindani unapaswa kuwepo.
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  na sehemu ulipo
   
 9. S

  Soki JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nilidhani makampuni ya simu kama voda, airtel, tigo, n.k, ndo wanajinga na sisi tunaipata through wao sehemu popote ulipo! sasa kumbe kuna swala la sehemu ulipo!
   
Loading...