Jamani msaada wa haraka tafadhali.

Jamani msaada wa haraka tafadhali.

ombeni

Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
47
Reaction score
2
Simu yangu ni N79 ,ninapotumia line ya vodacom kuacess Jamiiforums inafunguka vizuri lakini nikiweka line ya Zain au Tigo haifunguki kabisa,naomba kuwasilisha Asante.
 
Inabidi uweke settings za Internet kuendana na SIM unayotumia.
 
Simu yako ni ndogo kuweza kuwa na setting tofauti kwa wakati mmoja itakubidi kila unapobadili line ubadilishe na setting pia otherwise upate Nokia E-series
 
Back
Top Bottom