Hope hii link itakusaidia.Kama kuna swali unaweza uliza tena.Wana JF nisaidieni jinsi ya Kuseti outlook email, natumia moderm ya Sasatel, tafadhali mwenye maarifa anisaidie!!!!!
yani mdau inaonekana uko deep sana ila coz mm ni kilaza wa IT bado link imenishika maskio,,,kuna vitu cjavielewa kama vile POP3, IMAP or HTTP, na email yangu ni yahoo,internet provider wangu ni Sasatel, plz helpHope hii link itakusaidia.Kama kuna swali unaweza uliza tena.
How to configure Internet e-mail accounts in Outlook