Kwa mabingwa wa umeme na mitambo

Kundasenyi

Member
Apr 11, 2011
58
2
Jamani mwenzenu nimekwama transformer ya 630kva ina supply umeme kwenda umbali wa 1500cm service line ni ya 100mm, cable ya main ni 120mm inalisha crasher ya kupasua mawe yenye motor hizi 200kw inatembea star delta (contactor size: main 450amps, delta 630amps, star 400amps) na 110kw star delta contactor size nisawa na hiyo ya kwanza, cable zinazo enda kwenye motor nimetumia 70mm kwa kila motor, motor nyingine ni 22kw kwaajili ya chekecheke nimetumia cable ya16mm na kuna converyor belt zipo 7 kila moja ina 11kw zote ni motor za kichina. Tatizo nikwamba voltage zipo 400v ilanikiwasha motor zote volt zinashuka mpaka 290v ila motor zinatembea, zikiwa kwenye full load, wakat nikipima current hamna hata motor moja ambayo current zimezidi ya zilizo andikwa kwenye motor name plate. Hamna loose connection kuanzia kwenye motor mpaka kwnye transformer. Baada ya kama ya 30min volt zinashuka zaidi na ndipo coil zinaachia Je nifanye nini ili nipate voltage za kutosha? naombeni msaada wana jamii
 
Back
Top Bottom