mfukunyunzi Senior Member Mar 4, 2011 142 26 Apr 13, 2011 #1 Naoma mnisaidie jinsi ya kujiunga na hiyo huduma.
S Spear_ JF-Expert Member Dec 29, 2010 1,603 486 Apr 13, 2011 #3 mfukunyunzi said: Naoma mnisaidie jinsi ya kujiunga na hiyo huduma. Click to expand... Huwezi kujiunga kwa sh. 500 kwa siku, ila unaweza kupewa 20Mb kwa sh.500 zikiisha net itakata na utatakiwa kujiunga tena
mfukunyunzi said: Naoma mnisaidie jinsi ya kujiunga na hiyo huduma. Click to expand... Huwezi kujiunga kwa sh. 500 kwa siku, ila unaweza kupewa 20Mb kwa sh.500 zikiisha net itakata na utatakiwa kujiunga tena
mfukunyunzi Senior Member Mar 4, 2011 142 26 Apr 14, 2011 Thread starter #5 BinMgen said: Tuma "Cheka internet" kwenda 15300 Click to expand... Nilituma cheka internet kwenda 123 na ikakubali. Asanteni sana wote. :car:
BinMgen said: Tuma "Cheka internet" kwenda 15300 Click to expand... Nilituma cheka internet kwenda 123 na ikakubali. Asanteni sana wote. :car: