Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu natafuta netbook mpya or used which is in a good condition: Mtu mwenye any of this models and yupo tayari kufanya biashara tuwasiliane. 1. Samsung NF310 2. Acer Aspire One D260 Bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii Forum, Naomba msaada wenu, Ninahitaji Time Watcher nzuri ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye internet cafe, nimeasha jaribu free version lakini kuna wakati zina sumbua...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
kwa watu wote wanaotumia modem kupata internet, amekuwepo ujanja ujanja wa vodafone kuchelewesha kujiunga baada ya kujisajiri , au wakati mwingine message za kukubaliwa haziji kabisa au zinakuja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
I have some software on an offline storage and I would like to share with JF members. is there an Place to upload for member to access?
0 Reactions
2 Replies
894 Views
wajameni naombeni sana msaada wenu cmu yangu nimeletewa toka UK so iko locked na mtadao uliyokuwa unatumiwa kwny cmu hii kwa bahati mbaya cwezi sema ni mtandao gani uliolokiwa lakini naweza wapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, hivi ni lini Tanzania itakuwa na uwezo wa kumanufacture its own car? Tatizo ni nini?, Malighafi, Wataalamu, Uwezo wa kifedha, Mipango mibovu, Nia au kutokuwa na ndoto kama wenzetu walivyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jf, Nimelizwa computer na Moderm ya Vodacom, kuna jinsi yoyote ya kutrace moderm kwa kutumia IMEI au SERIAL ujue inatumika wapi? nimejaribu kupiga Voda customer care sijapata msaada...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yahoo error reporting! Salam wanajamvi! Jaman naombeni msaada wenu nina tatizo nikifungua tu yahoo then nikasaign inn kusoma email inaleta window ya send error or don't send! eti nifanyeje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hodi wanaJF!! Modem yangu ya voda haifanyi kazi toka Ijumaa. Je kuna mwingine mwenye tatizo kama langu? actually natumia modem ya Zain iliyochakachuliwa. Toka Ijumaa napata message inayosema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada tafadhali, nataka kuhamia Airtel wenye internet ya ukweli
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jamani wana JF naomba msaada wa activation codes za Limewire pamoja ares softwares! Natanguliza shukrani!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Express the problem you have to get a solution
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu Nina tatizo anayejua anipe ushauri i wa kitaalam. Ninadevelop ka webblogwesite kwa kutumia CMS sofware ya wordpress ili niweze kufanya customisation nazotaka ninatumia webhost au...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Open source anti-theft solution for Mac, PCs & Phones – Prey 100% geolocation aware Prey uses either the device's GPS or the nearest WiFi hotspots to triangulate and grab a fix on its...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba Kuuliza, Nawezaje Kutumia Internet Kutoka kwenye simu na Niweze Kuconnect na my Laptop?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wataalamu jana nimefanya format mashine yangu ya home dell nimeweka window XP serv pack 3 baada ya kumaliza kuformat ikapoteza sauti,na pia picha zikawa na scratch sana na font zimekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani mie nilicreate admin account kwnye mashne yangu sasa nimeisahau. Sitaki kuformat coz ntapoteza data,nilijaribu kuingia kwa guest a/c af nikatumia command lakn bado inagoma. Je nifanyaje?
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Nawasalimu wanaJF wote kwa jina la bwana yeye atutiaye nguvu. Jamani naombeni kuwauliza wataalamu ni aina gani ya SATELLITE FINDER ambazo ni orginal na bei yake ni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Nilikuwa Na-update Blackberry yangu curve 8320, ambayo imetolewa na vodafone, Wakati Na-update nilipata tatizo la simu ku-stack na kushindwa kuendelea na update, Nilijaribu kuichomoa betri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
When I click compose mail, i just get the loading message and nothing else.what can i do so that i can write a message?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom