Jamani kaspesky msaada

Jamani kaspesky msaada

moko

Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
57
Reaction score
2
1) WAZEE NATAKA KUPATA MSAADA WAKUDONLOAD ANTIVIRUS YA KASPESKY NA NIWEZE KUJIWEKEA SIKU MWENYEWE BADALA YA TRIAL VERSION YA SIKU 30 AU BADALA YA KUNUNUA CD
2) JE KUNA UWEZEKANO NIKAJIWEKEA HATA MIAKA KUMI?MANAKE NIMEONA MTU ANTIVIRUS YAKE INA MIAKA 10 CERTIFICATE

WAHESHIMIWA MSAADA WENU NI MUHIMU KULIKO MNAVYOFIKIRIAbehindsofa::confused3:
 
mzee siku unajiwekea mwenyewe according to ur cash uliyonunulia leseni yako,
kwa kudownload tu,u have to accept hiyo uliyopata!!

for kaspersky

Kaspersky Antivirus 2012 12.0.0.275 - CWz

kis2012.png

achana na trial versions, nunua uwe huru kusurf si vyo utajalia kama mimi
 
Kaka umeniambia nitajalia km wewe,yalikukuta yapi kaka?Ila pia suala kubwa nilitaka kujua hakuna njia ya kisanii kudownload bila kuingiza sijui visa card na malipo ya aina nyingine,namaanisha kukwepa kost?
 
Wazee naomba code za 2011 km kuna mtu anazo,natangulia conch
 
Mkuu kwa hii hakuna ushindi wa mezani utapaswa kuifanyia kazi tu. Inauzwa mtandaoni na madukani na ukitaka free download ukubali hiyo ya mwezi mmoja ila ukitaka ya mwaka basi basi lazima uwe na key. Siyo kama avira au AVG hi kunyonya bure bure tui. Kwa bei ya uswazi ni kama 25000 za bongo au 1200 t0 1500 za kenya na hii ni Kaspersky antivirus na ukitaka Kaspersky internet security ambayo ni nzuri zaidi basi jiandae kuzama zaidi mfukoni mwako. Hakuna njia nyingine!
 
Kaka nashukuru kwakubadilishana mawazo,je umeshasikia kitu inaitwa kis 2011 ya china?ni ya mwaka mmoja na ni free pia naskia unaweza badilisha ukaweka ktk englidh language,je hyo unaniambiaje japo bado sijaidownload,hebu google halfu utanishauri kitu
 
Mkuu kaspersky wapo siriaz sana na biashara, kudownload ni free kabisa na kutuami kwa mwezi mmoja tu kama majaribio, baada ya hapo ni lazima unune keys toka kwao, vinginevyo unaweza kupata keys za mitaani ambazo hutatakiwa kui update hiyo kaspersky yako maana nyingi zinakuwa blocked, hivyo wakishtukia umetumia keys fake wana iblock kabisa hiyo kaspesky yako uliyo install hadi unune keys toka kwao.
 
Kaka umeniambia nitajalia km wewe,yalikukuta yapi kaka?Ila pia suala kubwa nilitaka kujua hakuna njia ya kisanii kudownload bila kuingiza sijui visa card na malipo ya aina nyingine,namaanisha kukwepa kost?

ilinibidi kununua laptop mpya mkuu maana HDD ilukufa kabisaaa, bahati nzuri niluwa ndio nimemaliza semester na kulikuwa kuna projects nilizodevelop kwa miaka 2. kaspersky ni nzuri sana hata mimi naitumia sasa nilununua, kwa tz unaweza kuipata posta by cash lkn kuwa muangalifu sana na wahindi na maduka uchwara.
swala la kublock keys ni gumu sana kwa sasa na pia siku wakijua tricks ulizotumia wataiblock na hapo ndio utapo surf bila antivirus then kilio kitafuata
 
Back
Top Bottom