Hii inawezekana?

Hii inawezekana?

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Habar watalamu?Nina digital camera pamoja na pc.Nahitaji kuanza kupiga pasport na kusafisha,ili nipate fedha.JE NAHITAJI VIFAA GANI ZAIDI?
 
Nunua na Hp photosmart printer, iko vizuri ktk kuprint picha.
 
Tafuta hp photosmart 375 hiyo ndio naitumia kwanza ni portable pili unaweza kuprint passport size bila ya kutumia computer tatu catridge yake inatoa picha nyingi sana zinafikia 500 km uko sirius ni pm nikuelekeze pa kununa coz kwa hapa dar hazipatikani madukani,ingia HP® - Laptops, Desktops, Printers, Servers and more uiangalie specifications zake halafu utaniambia.
 
Pia unahitaji Abobe Photoshop ili mamboyende sawa zaidi.
 
Tafuta hp photosmart 375 hiyo ndio naitumia kwanza ni portable pili unaweza kuprint passport size bila ya kutumia computer tatu catridge yake inatoa picha nyingi sana zinafikia 500 km uko sirius ni pm nikuelekeze pa kununa coz kwa hapa dar hazipatikani madukani,ingia HP® - Laptops, Desktops, Printers, Servers and more uiangalie specifications zake halafu utaniambia.
niambie niandae shilingi ngap?nipate mzigo kamili.
 
Back
Top Bottom