Nauliza.

Webville

Member
Apr 10, 2011
9
0
Kuna mtu amewahi nunua CDs toka kwa hawa jamaa?
http://www.vtc.com
Mimi nahitaji lakini malipo yanataka visa card,nami nilipo ni kijijini, siwezipata visa card
Naomba msaada wenu kwa wenye udhoefu au waliowahi kununua CDs zao.
Napenda CDs kwasababu hapa kwetu hakuna private internet, hadi niende cafe,kwahiyo CDs zitanisaidia,kuliko kulipia kwa kusoma online.
Natanguliza shukrani.
 
Kwa hiyo unataka msaada wa mtu kukunulia alafu utamrudhishia hela?

Maana naona umeongea mambo mawili
Kwanza unauliza hao jamaa kama CD zao ni nzuri?
Pili unasema wewe huna visa card.

Nadhani kwa kuwa huna visa card gharama ya kununua hizo CD bora ungewaambia wadau ni training ya subject gani unataka. Zipo nyingi youtube unaweza ukatengezewa ukawekewa kwenye CD ukaelewa vile vile

Zipo Traing nyingi pia hata kwenye torrents site . Mimi natumia video CD za Software training online-tutorials for Adobe, Microsoft, Apple & more . Hizo za lynda .com sijanunua ila kama una hela nunua tu ni nzuri. Ila sijui hizo za VTC ni career gani. kama ni IT jaribu kuangalia na lynda .com
 
mimi nishatumia zote, vtc naona wako poa sio mastori mengi.. ila mimi sijanunua, nimeeeee.... ndo ivyo tennaaa...
 
Back
Top Bottom