HP MFP 2050 inanisumbua kwenye ku-scan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HP MFP 2050 inanisumbua kwenye ku-scan

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by futikamba, Apr 17, 2011.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau,
  Habari yenu wote?! Natumai J2 yenu inaisha vema?
  Embu nisaidieni, nimenunua Multifunctional Printer (MFP) ya HP, 2050series lakini inasumbua kwenye ku-scan. Inaniletea msg hii hapa "Scanner connection cannot be established. Ensure your product is powered on, check the connection, and ensure the network is functioning properly. If these conditions are correct, restart your product and try scanning again. If you are running firewall software, it maybe blocking your scan communications. Please visit HP Wireless solutions-boundless productivity - HP Public Sector Web for help configuring your firewall." mwisho wa kunukuu.
  Hizo solution zote zilizotajwa hapo kwa hiyo msg, nimeshazifanya. Ku-print naweza & ku-copy pia naweza. Tatizo ni kwenye scanner tu. Ilifanya kazi ile mara ya kwanza nilipo install software, baas. Baada ya hapo, ni matatizo tu.
  Je kuna mtu amepitia hii experience? Ame-solve vp? Tafadhali nisaidieni.
  FK.
  [​IMG][​IMG]
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0


  • Naushauri soma manual ya hiyo scanner kwenye sehemu ya scanning. Sio page nyingi dowload kutoka hapa
   http://h10032.www1.hp.com/ctg/Manual/c02217206.pdf.
  • Aina gani ya OS unatumia na connetion kati ya scanner na na hiyo MFP printer ni ya ina gani ? wireless or USB cable.
  • Setting za scanning ziko sawa?
  Soma vizuri hiyo doc itakusaidia.
   
Loading...