Msaada

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,043
21,517
salam wakuu,nina external hardisk yangu ambayo nimestore ma files yangu sasa shida inakuja sometimes mafaili yanaonekana kama shortcuts yaan mpaka uende kwenye ubuntu,uyaduplicate kwa kutengeneza new folders af niyahamishie humo. Je nini kinasababisha tatzo hili wakuu na nitafix vp? Asanteni!
 
Hicho ni kirusi mkuu,sasa cha msingi ni kufanya backup. Kwa kutumia Ubuntu copy and paste hayo mafile yako to new folders and then format hiyo HDD. Restore mafile kidogo kidogo baada ya ku-scan na ku-delete virus,otherwise tatizo litabaki palepale. Jaribu kwanza hiyo uone...
 
shukran mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom