Aljazeera,Press tv,France24

Aljazeera,Press tv,France24

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
WanaJF wote mambo vp? Naombeni kuuliza kwa wanaofahamu tatizo liko wapi? Natumia simu ya nokia E61i napata hizo channel live ila tatizo wakati wa mchana zinakwamakwama sana ila usiku kuanzia saa 6 zinaonekana vizuri kabisa
 
Mkuu nami simu nayotumia ni sawa kabisa na yako..naomba unipe procedure namna ya kuinstall nokia ovi..na how u can manage to see those channels na cost implication..thanks
 
Shida ni network mkuu ikiwa busy bandwidth yake inapungua na kufanya usiweze kuona na ikiwa safi ndo unaiona inakuwa very swift!
 
Mkuu nami simu nayotumia ni sawa kabisa na yako..naomba unipe procedure namna ya kuinstall nokia ovi..na how u can manage to see those channels na cost implication..thanks

Itakubidi u-download Ovi Store ktk simu yako ya Nokia na ujisajili kwa kufuata maelekezo. Kisha utakuwa huru ku-download na kuhifadhi app. kibao bure kabisa. (zipo zinazouzwa pia) Mimi natumia SPB TV ambayo kwayo naweza kupata chanel kibao live zikiwemo Aljazeera, France 24, CCTV 9, FOX nk. Kupitia Nokia yangu N95. Kupata Ovi Store nenda ktk mtandao wa Nokia utaweza kuipata bwerere. Japo mimi si mjuvi sana kwani mengi nimejifunza kupitia hapa JF nadhani nimejitahidi kukupa mwanga kiasi. Mengine nawapisha wataalam. Usisahau kuleta matokeo na sekyu ikibidi Mkuu!
 
Thanks mkuu..i w'l be back kukupa feedback

Sawa mkuu! Nakusubiri hapa sitoki. Ukifanikiwa itakuwa faraja yangu kusaidia mwingine, ni ahadi yangu kwa JF! Ukishindwa tutakuwa tumeshindwa wote pia! Usiniangushe..basi!
 
Back
Top Bottom