msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by suanet, Apr 18, 2011.

 1. s

  suanet Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jinsi ya kuweka program kwenye cd mpaka ikawa installed kwenye computer za watu wengine. Namaanisha kama nimeandika kwenye text pad na nika compile na nika run, lakini hii program yangu nataka niiweke kwenye computer ili itumike kwa kila mtu, na nisiandike program nyingine ya muundo huo. (IMPLEMENTATION OF PROGRAM OR WRITTEN PROGRAM INTO REAL USE)
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Njia rahisi ni kuziburn kwenye cd, kama zipo kwenye cd na unataka ziende kama kama zilivyo copy hiyo cd then burn
   
 3. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimeweka reply on ur other similar post..
   
Loading...